Content removal request!


ARAFAT HAJI : TULIDHARAULIWA WAKATI TUNAINGIA KWENYE MPIRA | HATUJAWAHI KUYUMBISHWA KWA LOLOTE

“hapa katikati kulikuwa na misemo maarufu hawana uzoefu hawaujui mpira, mpira unaware wake” Makamu wa Rais wa klabu ya Yanga @arafat__ah Mahojiano haya tumekuwekea katika YouTube channel yetu ya Almas Digital