Mambo 10 nilioyaona Simba vs Dodoma 1: WHAT A MATCH. Tactically, Technically makocha na wachezaji wametupa dakika 90 zilizoshiba. Mechi ya nguvu, kasi na maarifa ya kutosha.. 2: Kocha wa Dodoma Jiji, Mbwana Makata aliingia na 4-2-4 akiwa na viungo wawili tu katikati ya kiwanja. Watu wanne wa juu wakiwa bora sana kwenye pressing 🙌 Game Plan ilikuwa sahihi, 'Quality' ikatofautisha ubao wa matokeo. Nafasi ambazo Dodoma walizichezea, Simba walizitumia. 3: Dakika 45 za kwanza, Didier Gomes alibaki na sytem ya 4-2-3- 1 lakini akabadili style of Play kidogo. Chama akaenda pembeni, Bwalya akacheza zone ya 14. Timu ikaonekana nzito kidogo 'kulink' kutoka kati kuingia phase ya 3 ya kiwanja. Nini alifanya? 4: Akamtoa Muzamir Yassin akamuingiza Morrison. Chama akarudi kwenye zone ya 14, Bwalya akarudi kati. Timu ikalainika, nafasi zinakapatina. 5: Again, Simba wamethibitisha tena nilichowahi kukisema. Ni timu hatari pindi inaposhambuliwa. Mpinzani akitawanyika wana watu wazuri wa kutega kwenye maeneo ya wazi. Wakiupata mpira.. hawachezi, wanashambulia. 6: CHAMA 🐐.. Damu ya Zambia. mwili wa Hispania. Akili ya Brazil.. Alichobakisha ni kutoa asali na maziwa kwenye miguu yake.. What A Player 🙌 Anaufanya mchezo wa mpira uonekana mrahisi sana. Yuko Sharp kwenye kujitengenezea nafasi na ni mtulivu kwenye maamuzi yake 7: Ule mguu wa kushoto wa Larry Bwalya una 'vision' ya ajabu sana🙌 Ana utulivu sana. Anaimeza presha ya Opponent kwa ustadi wa aina yake. Ile pivot yake na Nyoni inawapa uhakika Simba wa kumiliki mpira kwa muda mwingi wa mchezo 8: Justine Omary🙌 Yule beki wa kati wa Dodoma Jiji.. Ni mpambanaji sana. Ana kimo kizuri, ana nguvu na timing yake ni nzuri sana. Akisukuma kidogo kwenye kutafuta kasi, he is one of the best tunaoweza kuwategemea kwa baadae 9: Miquissone 👍 Katika ubora wake wa kila siku. Dodoma walimpa mechi ngumu akawafunga bao gumu. Ule ndio ubora unaowabeba Simba wanapokuwa katika nyakati ngumu kiwanjani 10: Mkandala 👍 Alipambana sana kumvuruga Muzamir katikati ya kiwanja. Wale mabeki wa pembeni wa Dodoma, George Wawa na Ngalema wamevuja sana jasho. Well done kwao.. Nb: Tar 8 bebeni Tende tu.. Ftari mtaipata KWA MKAPA 😀
SIMBA VS DODOMA JIJI: Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Chris Mugalu amefunga magoli mawili, Luis Miquissone amefunga moja huku Cleophace Mkandala akifunga goli pekee la Dodoma Jiji. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wamepambana kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Dodoma Jiji, jambo ambalo wanahitaji pongezi. Ikiwa Uwanja wa Jamhuri Simba imeshinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Kiporo na kusepa na pointi tatu. Bao la kwanza kwa Simba lilipachikwa na Meddie Kagere dakika ya 30 likawekwa usawa na Cleophance Mkandala dakika ya 36 ambaye alionyeshwa kadi ya njano kwa kushangilia akiwa ametoa jezi. Bernard Morrison ambaye aliweza kuanza kwenye mchezo wa kwanza wa Gomes ndani ya Simba katika Ligi Kuu Bara alipachika bao ushindi dakika ya 66 kwa pasi ya Perfect Chikwende. Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha jumla ya pointi 38 ikiwa imeachwa kwa pointi 6 na watani zao wa jadi Yanga wenye pointi 44 wakiwa nafasi ya kwanza. Gomes amesema:"Wachezaji wamepambana kutafuta pointi tatu wanahitaji pongezi hesabu zetu ni mchezo wetu ujao wa Ligi Kuu Bara, " HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
MATOKEO #VPL FT: Kagera Sugar 0-1 JKT Tanzania (Hassan Mwaterema 49’). FT: KMC 1-1 Ndanda SC (Ally Ramadhan 9’ p : Salum Chubi 52’). FT: Biashara United 0-2 Simba SC (Medie Kagere 23’, Miraji Athuman 54’). FT: Mtibwa Sugar 1-1 Mbeya City (Abdulhalim Humud 23’ : Peter Mapunda 43’). FT: Lipuli FC 2-2 TZ Prisons (David Kameta 18’ p, Paul Materaz 45' : Hamidu Daud 6’, Cleophas Mkandala 83’) #VPL #VPLUpdates #LigiKuuTanzaniaBara #VodacomPremierLeague #SimbaSC #SSC #BiasharaUnited #BiasharaSimba