MIRAJI | MAEMA MCHEZAJI WA KAWAIDA? TUSUBIRI LIGI |INTERVIEW YA SOWAH ANATISHA HUKO PRE SEASON๐Ÿ˜‚
MIRAJI | MAEMA MCHEZAJI WA KAWAIDA? TUSUBIRI LIGI |INTERVIEW YA SOWAH ANATISHA HUKO PRE SEASON๐Ÿ˜‚

Wanafamilia wote tunaokwenda kwa watoto ya tima kesho tukutane stesheni saa 2 asubuhi safari itaanza saa 3 asubuhi kwenda Kitonga kwa Jongo .....



SIMBA SC: Elie Mpanzu aanza 'tizi' kambini Misri ; Meneja Simba amaliza utata kuhusu uhalali wake
SIMBA SC: Elie Mpanzu aanza 'tizi' kambini Misri ; Meneja Simba amaliza utata kuhusu uhalali wake

KUTOKA MISRI | โ€œโ€ฆ.hakuna kiumbe yeyote anayeweza kujiita Eliiiii zaidi ya Simba SCโ€ Kikosi cha Simba SC kikiwa kambini nchini Misri, jioni ya leo kimepiga tizi lililomuhusisha pia kiungo wao Elie Mpanzu ambaye ameripoti kambini hapo leoโ€ฆ Katika tizi hizo hilo, meneja wa kikosi hicho, Patrick Rweyemamu amefafanua machache kuhusu utata uliokuwepo juu ya mchezaji huyo, akisema โ€œโ€ฆni propagandaโ€ฆni Gen-z ambao wameingia kwenye mfumo wa kisasa wa mpiraโ€ Rweyemamu amesema klabu hiyo haiwezi kufanya makosa ya kumsajili mchezaji wa aina hiyo kwa mkataba wa miezi sita na kusisitiza kuwa โ€œโ€ฆElie Mpanzu yupo, na ataendelea kuwepo hadi Simba itakavyoamua vinginevyo



UTAPAGAWA KIWANGO CHA MOHAMED DOUMBIA KWA MARA YA KWANZA MAZOEZINI NA WACHEZAJ WENZAKE,HUYU NI FUNDI
UTAPAGAWA KIWANGO CHA MOHAMED DOUMBIA KWA MARA YA KWANZA MAZOEZINI NA WACHEZAJ WENZAKE,HUYU NI FUNDI

#mohameddoumbia #mazoeziyayangaleo #usajilimpyayanga #yangasc . ๐— ๐—ข ๐——๐—ข๐—จ๐— ๐—•๐—œ๐—” ๐—™๐—”๐—–๐—ง๐—ฆ Mfahamu Mohamed Doumbia kiungo mpya wa Young Africans ๐Ÿ”ฐ . โ—‰ Majina kamili โžœ Mohamed Doumbia. โ—‰ Tarehe ya kuzaliwa โžœ 25 December, 1998. โ—‰ Umri โžœ Miaka 26. โ—‰ Mahali pa kuzaliwa โžœ Abidjan ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ. โ—‰ Uraia โžœ Ivory Coast. โ—‰ Nafasi โžœ Kiungo wa kati. โ—‰ Mguu anaotumia โžœ Kulia. Klabu alizowahi kuzichezea : ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฎ Ekenรคs IF (16|17) ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Dukla Prague (17|18 -- 21|22) ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Slovan Liberec (21|22 -- 24|25) ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ SC Majestic (24|25) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Young Africans ๐Ÿ†• ๐—จ๐—•๐—ข๐—ฅ๐—” ๐—ช๐—”๐—ž๐—˜ Doumbia ni mchezaji mwenye nguvu ๐Ÿ’ช, akili, uwezo mkubwa kupiga pasi zenye uhakika ๐Ÿ™Œ, uwezo mzuri ku-dribble ๐Ÿ‘, kupiga mashuti ya mbali yenye usahihi ๐Ÿ”ฅ na kutengeneza nafasi za mabao ๐Ÿ‘Š . ๐—ง๐—”๐—ž๐—ช๐—œ๐— ๐—จ ๐—ญ๐—”๐—ž๐—˜ โšฝ 07 ๐Ÿ…ฐ๏ธ 03 ๐ŸŽฎ 086 -- Dukla Prague. โšฝ 05 ๐Ÿ…ฐ๏ธ 05 ๐ŸŽฎ 046 -- Slovan Liberec. โšฝ 01 ๐Ÿ…ฐ๏ธ 01 ๐ŸŽฎ 027 -- Ekenรคs IF. โšฝ 00 ๐Ÿ…ฐ๏ธ 01 ๐ŸŽฎ 013 -- SC Majestic. โšฝ 13 ๐Ÿ…ฐ๏ธ 10 ๐ŸŽฎ 172 -- Total



SHABIKI WA YANGA ANYOOSHA MIKONO KISA UBORA WA YUSUPH KAGOMA AKIRI NI MCHEZAJI HATARI.
SHABIKI WA YANGA ANYOOSHA MIKONO KISA UBORA WA YUSUPH KAGOMA AKIRI NI MCHEZAJI HATARI.

USISAHAU KU-SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KWA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU. INSTAGRAM @pmtvtz TIKTOK @officialpmtv TOVUTI: www.pmtv.co.tz



Yanga yatoa siri jinsi ilivyomnasa kiungo Moussa Balla Conte
Yanga yatoa siri jinsi ilivyomnasa kiungo Moussa Balla Conte

โ€œโ€ฆtuliweka kiwango kizuri cha fedha kumshawishi mchezaji na klkabu yakeโ€ Nneno la Ally Kamwe kuhusu usajili wa kiungo Moussa Balla Conte ambaye leo ametua rasmi Jangwani kwa mkataba wa miaka mitatuโ€ฆ Kamwe ameeleza jinsi ilivyokuwa ngumu kumpata na jinsi walivyoweza kumshawishi yeye na klabu yake licha ya kuwa na ofa nyingiโ€ฆ.. Kuhusu hatma ya Khalid Aucho, Kamwe amesema majibu yatatoka Julai 20 baada ya kupokea ripoti ya CEO wa klabu hiyoโ€ฆ Mwisho, Ally Kamwe anatoa ujumbe kwa walioumizwa na usajili huo akiomba kusajiliwa na timu inayohitaji mchezaji mwenye jina la Conteโ€ฆ. #YangaSC #Usajili #BallaConte



HANS RAFAEL NICHAPWE VIBOKO 5 BALLA CONTE ASIPOCHEZA YANGA,NDIYE MBADALA WA AUCHO,YANGA WALISHAMSAIN
HANS RAFAEL NICHAPWE VIBOKO 5 BALLA CONTE ASIPOCHEZA YANGA,NDIYE MBADALA WA AUCHO,YANGA WALISHAMSAIN

#hansrafael #ballamussaconte #yangasc #khalidaucho #tetesizausajilimpya2025 mchambuzi wa michezo Kutoka crown fm Hans Rafael Leo 17.7.2025 amethibitisha kuwa Mchezaji balla mussa Conte AMESHASAJILIWA YANGA muda mrefu na nichapwe viboko 5 studio kama balla Conte hatacheza yanga msimu ujao na ndiye mbadala SAHIHI wa Khalid Aucho Leo Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi




« Previous Next »


Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #Tristan Thompson  #Goalkeeper Saves  #Russell Westbrook  #Chicago Bulls  #Michael Jordan  #Shot Goals  #Gareth Bale  #Boston Celtics  #Football Skills  

Popular Users

#JJWatt  #hunterpence  #TheNotoriousMMA  #JasonDufner  #JLo  #rolopez42  #BellaTwins  #taylorswift13  #baseballpro  #justinbieber  #TheEllenShow  #Kaepernick7  #DeionSanders  #rogerfederer