Mapya kuhusu nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta, Kwamba klabu ya Galatasaray ya nchini Uturuki inampango wa kumsajili kwa mkopo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta endapo klabu ya Aston Villa itashuka daraja mwishoni mwa msimu huu. ( Chanzo ni Sport Witness ) Wakati huohuo klabu ya Newcastle United kupitia kocha wake Steve Bruce waandaa kiasi cha £8.5 Millions kumsajili Mbwana Samatta mwisho wa msimu huu endapo klabu ya Aston Villa itakubali dau hilo. ( Chanzo ni HITC.Com ) #MbwanaSamatta #Samatta #Samata #AstonVilla #SamattaNewcastle #SamataGalatasaray
Baada ya timu mpya ya Mtanzania Mbwana Samatta, Aston Villa kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Leicester City katika kombe la Carabao wachambuzi wa soka wameuelezea kwa kina mchezo huo na kueleza kuwa hakuna mashaka kwa namna alivyocheza leo katika mchezo wake huo wa kwanza tangu kujiunga na timu hiyo.
SAMATTA AKATAA KUONGELEA KIWANGO CHAKE TAIFA STARS - "TUNGESHINDA KWA LIBYA" Nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta, amegoma kuzungumzia kiwango chake anacho kionyesha kwenye timu ya taifa ya Tanzania kutokana na kuwa na malalamiko mengi yanayo husu uwezo wake ambao ana uonyesha hususani anapokuwa katika timu ya Taifa. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list...] HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
LIBYA VS TANZANIA (2-1) - VIBE la Mashabiki wa STARS Kabla ya Mchezo.. MWAMUZI wa kati ya timu ya taifa ya Tanzania iliyokuwa inamenyana na Libya nchini Tunsia leo amebeba furaha ya mashabiki kwa kufanya maamuzi yasiyo ya kungwana mbele ya Stars nchini Tunisia. Mchezo wa leo umekamilika kwa Stars kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 licha ya kuanza kufunga bao la kwanza dakika ya 18 kwa mkwaju wa penalti kupitia Mbwana Samata baada ya Msuva kuchezewa rafu. Dakika ya 68 mwamuzi alitoa penalti ya kungaunga kwa Libya jambo lililowavunja moyo wapambanaji wa Stars kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya Afcn nchini Tunisia na bao likapachikwa na Sand Masoud dakika ya 68 ambaye alipiga penalti. Dakika ya 81 zikiwa zimebaki dakika 9 mpira kukamilika Anias Saltou aliandika bao la pili akiwa ndani ya 18 kutokana na safu ya ulinzi kufanya makosa ya wazi. Mchezaji wao tegemeo kwa Libya, Hamdou Mohamed alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 87. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list...] HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
PENATI ya SAMATTA ILIYONYANYUA MASHABIKI WA TANZANIA Timu ya taifa ya Tanzania (TAIFA STARS) imeshuka dimbani leo Novemba 11, huko nchini Tunisia kuvaana na timu ya taifa ya Libya, ikiwa ni michuano ya kufuzu AFCON 2021 nchini Cameroon.. Katika dakika 45 za kipindi cha kwanza, Tanzania imefanikiwa kupata goli lililofungwa na Nahodha, Mbwana Samatta, kwa mkwaju wa penalti... ALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list...] HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
Kocha MATOLA Ataja MAPUNGUFU ya TAIFA STARS, Athibitisha "LIBYA ATAKUFA" TANZANIA imeanza vyema mbio za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Equatorial Guinea usiku wa Kuamkia leo November 16 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Haukuwa ushindi mwepesi, kwani hadi mapumziko, tayari Equatorial Guinea walikuwa mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji wa Sassuolo ya Italia, Pedro Mba Obiang dakika ya 15 akimtungua kipa mkongwe wa Tanzania, Juma Kaseja kwa shuti la mbali. Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin. Mabao yote ya Tanzania yalifungwa kipindi cha pili, ambapo bao la kwanza liliwekwa kimiani na Simon Msuva, na pili likifungwa dakika za nyongeza na Salum Aboubakary (SURE BOY), YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
MSUVA - "Nilisema NITAFUNGA, Mimi MZOEFU, Goli la SURE BOY ni BALAA" TANZANIA imeanza vyema mbio za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Equatorial Guinea usiku wa Kuamkia leo November 16 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Haukuwa ushindi mwepesi, kwani hadi mapumziko, tayari Equatorial Guinea walikuwa mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji wa Sassuolo ya Italia, Pedro Mba Obiang dakika ya 15 akimtungua kipa mkongwe wa Tanzania, Juma Kaseja kwa shuti la mbali. Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin. Mabao yote ya Tanzania yalifungwa kipindi cha pili, ambapo bao la kwanza liliwekwa kimiani na Simon Msuva, na pili likifungwa dakika za nyongeza na Salum Aboubakary (SURE BOY), YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAO la la dakika za usiku lililofungwa na Abubakar Salum 'Sure Boy' limeiwezesha Taifa Stars kuvuna alama tatu katika mchezo wa kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Afcon 2021 baada ya kuifunga Guinea ya Ikweta mabao 2-1. Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Bao la Stars lilifungwa na Simon Msuva dakika 68 baada ya kumzidi ujanja kipa wa Guinea ambaye muda mwingi alionekana kuwa kinara wa kuizuia Stars kufunga na hadi dakika za nyongeza, Sure Boy alipoachia shuti kali lililozama nyavuni na kuipa ushindi Stars mabao 2-1. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars