Content removal request!


UPEPO WA SAMATTA NDANI YA ASTON VILLA/WAICHAPA LEICESTER CITY

Baada ya timu mpya ya Mtanzania Mbwana Samatta, Aston Villa kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Leicester City katika kombe la Carabao wachambuzi wa soka wameuelezea kwa kina mchezo huo na kueleza kuwa hakuna mashaka kwa namna alivyocheza leo katika mchezo wake huo wa kwanza tangu kujiunga na timu hiyo.