UPEPO WA SAMATTA NDANI YA ASTON VILLA/WAICHAPA LEICESTER CITY by @MwanaHALISI TV - Post Details

UPEPO WA SAMATTA NDANI YA ASTON VILLA/WAICHAPA LEICESTER CITY

Baada ya timu mpya ya Mtanzania Mbwana Samatta, Aston Villa kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Leicester City katika kombe la Carabao wachambuzi wa soka wameuelezea kwa kina mchezo huo na kueleza kuwa hakuna mashaka kwa namna alivyocheza leo katika mchezo wake huo wa kwanza tangu kujiunga na timu hiyo.

Similar Posts!

MUDA MCHACHE KABLA YA STARS KUIVAA LIBYA, HAYA NDIYO MAONI YA WACHAMBUZI HUKO TUNISIA
MUDA MCHACHE KABLA YA STARS KUIVAA LIBYA, HAYA NDIYO MAONI YA WACHAMBUZI HUKO TUNISIA

Muda mchache kabla ya kikosi cha Taifa Stars kuivaa timu ya Libya huko Tunisia, wachambuzi wa soka nchini walioongozana na timu hiyo, wametoa maoni yao kuelekea mchezo huo.