Jean Jaques Ngita na Jephte Kitambala Bola wameipa Azam FC magoli mawili muhimu ugenini wakiondoka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha dhidi ya Fountain Gate FC. Haya hapa magoli yote mawili...
Habari Mbaya Kutoka KIGOMA Muda Huu YANGA Yapata PIGO KUBWA Ali KAMWE Afunguka Mazito Kwa Uchungu #yangasc #mashujaa #kikosichayanga #msimamowaligikuunbc #magoliyaleo #simbasc #yangasc #chama #simbasc #yangasc #2026 #yangasc #traunited #live #kikosichasimbaleo #kikosichasimba #simbasc #stademalien #cafcl #yangasc #kmcfc #simba #kikosichasimba #kikosichayanga #yangasc #simbasc #simbaday #yangaday #tetesizausajili #usajili #dirishakubwalausajili #usajilisimba #usajiliyanga #tetesizausajili #simbasc #yangasc #yanga #simbasc #dirishadogolausajili #dirishakubwalausajili #2023 #wachezajiwanaotemwasimba #wachezajiwanaotemwayanga #usajili #simba #magoli #chama #maxinzengeli #manara #alikamwe #ahmedally #gsm #moodewji #raissamia #samiasuluhu #caf #cafcc #cafcl #harmonize #diamondplatnumz #alikiba #wcb #wasafi #millardayo #wasafitv #music #football #news #sports #samatta #novatusdismas #ccm #chadema #zanzibar #africa #cecafa #live #ngaiyajamii #fifa #messin
LIGI YA VIJANA U17 | Ni Kariakoo Derby ya vijana, Yanga U17 na Simba U17, mchezo umemalizika kwa sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa TFF, Kigamboni Dar es Salaam. Yanga wametangulia kwa goli la Issa Ramadhan dakika ya 15, na Simba kuchomoa dakika za majeruhi... Tazama highlights
kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes
Kiungo Allan Okello amefunga magoli mawili katika ushindi wa 3-1, Yanga dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Aliyeitanguliza Yanga kwenye mchezo huu alikuwa ni Duke Abuya, kabla ya Hassan Kabunda kuchomoa kipindi cha kwanza... na Allan Okello akapiga mawili kipindi cha pili.
#Bongoheadlines #Football #Entertaiment #Yanga sc #SimbaSc #SimbanaYanga #Diamond platnumz #Mbosso #Harmonize #Marioo #Jux #Alikiba
Kiungo Allan Okello amefunga magoli mawili katika ushindi wa 3-1, Yanga dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Aliyeitanguliza Yanga kwenye mchezo huu alikuwa ni Duke Abuya, kabla ya Hassan Kabunda kuchomoa kipindi cha kwanza... na Allan Okello akapiga mawili kipindi cha pili. Haya hapa magoli...