Mbao FC 2-0 Lipuli FC | Magoli ya Wazir Junior
Mbao FC 2-0 Lipuli FC | Magoli ya Wazir Junior

MBAO 2-0 LIPULI: Shuhudia magoli mawili ya mchezo wa #VPL kati Mbao FC dhidi ya Lipuli FC yaliyofungwa na Wazir Junior kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Lipuli 0-1 Kagera Sugar | Goli la Abdul Swamadi na kauli za makocha
Lipuli 0-1 Kagera Sugar | Goli la Abdul Swamadi na kauli za makocha

Ni mechi ya ligi kuu Tanzania Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa samora mjini Iringa, wenyeji Lipuli FC wakichezea kichapo cha bao 1-0. Kocha Nzeyimana Mailo na Mecky Mexime wametoa neno baada ya mchezo. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli ya ajabu, Namungo FC yaichapa Lipuli FC 2-1 nyumbani kwao huku David Kameta akikosa penati
Magoli ya ajabu, Namungo FC yaichapa Lipuli FC 2-1 nyumbani kwao huku David Kameta akikosa penati

LIPULI FC 1-2 NAMUNGO FC: MAGOLI YOTE (VPL - 29/02/2020). Timu ya Namungo imeendeleza ubabe kwa kushinda 2-1 dhidi ya Lipuli FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Samora mjini iringa. Magoli ya Namungo yamefungwa na Bigirimana Blaise pamoja na George Makang'a huku bao la kufutia machozi likifungwa David Kameta 'Duchu' ambaye pia alikosa penati. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Ona Simba Walivyotua Dar Wakitokea Iringa Kuisambaratisha Lipuli fc
Ona Simba Walivyotua Dar Wakitokea Iringa Kuisambaratisha Lipuli fc

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1 #simbasc



MAMBO 10 NILIYOYAGUNDUA KWENYE MCHEZO WA SIMBA 1 NA LIPULI 0 "shabalala is back"Bocco Baba Lao.
MAMBO 10 NILIYOYAGUNDUA KWENYE MCHEZO WA SIMBA 1 NA LIPULI 0 "shabalala is back"Bocco Baba Lao.

MAMBO 10 NILIYOYAGUNDUA KWENYE MCHEZO WA SIMBA 1 NA LIPULI 0 "tshabalala is back"



Lipuli FC 0-1 Simba SC : Highlights - 15/02/2020
Lipuli FC 0-1 Simba SC : Highlights - 15/02/2020

Nahodha wa Simba John Bocco ameifungia timu yake bao pekee la ushindi na kuipa pointi tatu mbele ya Lipuli FC, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Samora, Iringa, Ligi Kuu Tanzania Bara VPL. Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/de... Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Maneno ya Kocha wa Simba baada ya kuwafunga Lipuli
Maneno ya Kocha wa Simba baada ya kuwafunga Lipuli

Bofya https://pma.bet/2vruKDx kujiunga na timu ya washindi na wewe upate nafasi ya kushinda mamilion




« Previous Next »


Popular Tags

#Tristan Thompson  #Goalkeeper Saves  #Kevin Durant  #Chris Paul  #Amazing Solo Goals  #Best Goalkeeper Saves  #Shaquille O'Neal  #Gareth Bale  #LeBron James  #Best Goalkeeper Saves  

Popular Users

#ladygaga  #RyanBabel  #JayBilas  #TheCUTCH22  #DanicaPatrick  #MieshaTate  #kevinlove  #neymarjr  #geniebouchard  #NiallOfficial  #baseballpro  #realmadrid  #THNRyanKennedy  #GNev2