#AllasaneKante #KhadimDiaw #Wachezajiwapyawaliosajiliwasimba2025 #tetesizausajilimpya2025 #hansrafael #yangasc #simbasc #ahmedally #zandaaani #wazeewaminyama #simbasctanzania Tetesi za usajili mpya Simba sc msimu huu 1. Khadim Diaw mlinzi wa kushoto kutoka Al hilal umri Miaka 27 2. Dramane kamagate top scorer wa ivory Coast kutoka San Pedro Miaka 20 3.Allasane Kante KUTOKA Bizertin ya Tunisia 4. Morice Abraham deal done 5. Charles Semfuko kutoka Coastal Kibu Dennis anatarajia kuhitimisha majaribio yake ya wiki tatu ndani ya Nashville SC ya Marekani. Awali Nashville SC walimpa Kibu wiki mbili za majaribio na Baada ya muda huo kumalizika wamemuongezea wiki nyingine ili wamtazame zaidi. Nashville SC Ni timu nzuri ambayo inashika nafasi ya pili kwenye Ligi ya MLS Marekani. Kama Kibu atafaulu majaribio Yake basi klabu hiyo itatuma ofa Simba ili kumununua Mkandaji. Kibu anapambania ndoto zake Za kucheza Marekani ili awe karibu na familia yak Che Malone kuondoka kwenda mc Alger Lionel Ateba anaondoka kwenda Magreb Fez ya Morocco Rodrigo Fegbo WA police Kenya