Mtangazaji Mwandamizi wa soka nchini, Baraka Adson Lamsi Mpenja, maarufu Mwamba wa Umalila, Fahari ya Itete, Sauti ya Radi, amekutana na kufanya Mazungumzo maalumu na Watangazaji vinara wa kandanda kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga na Ayubu Hinjo. Wamezichambua mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Machi 29, Simba vs Al Ahly na Machi 30, Yanga vs Mamelodi Sundowns.
Wasikie Wachambuzi mahiri wa kandanda ndani ya Sports AM ya #AzamSports1HD, Ramadhani Mbwaduke, Clarence Kunambi ...
Msikie Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa maamuzi mbalimbali ya Waamuzi kwenye ...
Tazama kipindi cha Kipyenga cha Mwisho na Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa ...
Msikie Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa baadhi ya maamuzi kwenye mechi ya NBC ...
Huyu hapa Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda Nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa maamuzi ya Waamuzi, Wachezaji na Mabenchi ya Ufundi kwenye mechi ya Yanga SC Vs Ihefu, Simba SC Vs Mbeya City na Geita Gold Vs Dodoma Jiji. KIPYENGA CHA MWISHO ni kila Alhamis saa 3:30 Usiku kupitia #AzamSports1HD
Kipyenga cha Mwisho na Mwamuzi mstaafu wa Kandanda, Osman Kazi akisawazisha utata wa yale yote yaliyojiri kwenye ...
Mwamuzi mstaafu wa kandanda Osman Kazi ameondoa utata wa kwenye maamuzi katika mechi za kimataifa kati ya Al Hilal dhidi ...