🔴LIVE: DEAL DONE: SIMBA WASHUSHA KIUNGO KUTOKA DIFAA EL JADIDA ISMAEL SAWADOGO ASAINI MIAKA MIWILI
🔴LIVE: DEAL DONE: SIMBA WASHUSHA KIUNGO KUTOKA DIFAA EL JADIDA ISMAEL SAWADOGO ASAINI MIAKA MIWILI

Klabu ya Simba imemtangaza Kiungo Mpya Raia wa Burkinafaso kutoka Difaa El Jadida Ismael Sawadogo baada ya kusaini Mkataba wa Miaka miwili akitokea nchini Morocco. Kiungo huyo atawasili nchini kesho Jumapili Alfajiri na atasubiri kujiunga na kikosi kitakapowasili Jumanne kutokea Dubai.

🔴LIVE: FEITOTO ATAJWA KOCHA YANGA AKIFUNGUKA WALIVYOJIPANGA KUWAFUNGA AZAM KESHO KWA MKAPA
🔴LIVE: FEITOTO ATAJWA KOCHA YANGA AKIFUNGUKA WALIVYOJIPANGA KUWAFUNGA AZAM KESHO KWA MKAPA

Kocha Msaidizi wa Yanga SC ameweka wazi mipango ya timu kuelekea mchezo wao wa kesho Disemba 25 dhidi ya Azam FC katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam.

EXCLUSIVE: ALLY KAMWE SIMZUNGUMZII AHMED ALLY/ YANGA HATUNA NJAA ILA MASHABIKI WETU WANA UPENDO SANA
EXCLUSIVE: ALLY KAMWE SIMZUNGUMZII AHMED ALLY/ YANGA HATUNA NJAA ILA MASHABIKI WETU WANA UPENDO SANA

Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo

Next »

Popular Tags

#LeBron James  #Paul Pogba  #Kyrie Irving  #Best Football Defending Skills  #LeBron James  #Best Goals Ever  #Cristiano Ronaldo  #Los Angeles Lakers  #Best Ball Controls  #Cleveland Cavaliers  

Popular Users

#BadgerMBB  #RobGronkowski  #DeionSanders  #normmacdonald  #RSherman_25  #britneyspears  #floydmayweather  #UKCoachCalipari  #hunterpence  #LAKings  #Drake  #criscyborg  #kobebryant  #fauxpelini  #BMcCarthy32