Yanga 1-1 Geita Gold (Pen:7-6) | Magoli na mikwaju ya penati | Robo Fainali ASFC 10/04/2022
Yanga 1-1 Geita Gold (Pen:7-6) | Magoli na mikwaju ya penati | Robo Fainali ASFC 10/04/2022

YANGA vs GEITA GOLD - Yanga SC imetinga nusu fainali ya #AzamSportsFederationCup kwa mikwaju ya penati 7-6 baada ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika dakika 90 za mchezo. Geita walitangulia kupata bao kupitia kwa Offen Chikola dakika ya 88 na Yanga kuchomoa kwa penati dakika ya 90+4 kupitia kwa Djuma Shaban... Laki mikwaju ya penati ikaamua, Yanga wakipata penati saba na kukosa moja huku Geita wakipata penati 6 na kukosa mbili. Waliofunga penati za Yanga ni Yanick Bangala, Jesus Moloko, Fiston Mayele, Saidi Ntibazonkiza, Djuma Shaban, Bakari Mwamnyeto na Dickson Job huku penati ya golikipa Djigui Diarra ikitoka nje. Upande wa Geita waliofunga ni David kameta Duchu, George Mpole, Yusuph Kagoma, Adeyum Ahmed, Offen Chikola na Kelvin Yondan huku Juma Mahadhi na Maka Edward wakikosa penati zao.



#Live: Geita Gold fc Vs Polisi Tanzania fc , Magoli Yote Tazama hapa
#Live: Geita Gold fc Vs Polisi Tanzania fc , Magoli Yote Tazama hapa

#geitagold #polisitanzania #nbcpremierleague #hengetv #live



Magoli ya Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza, Tazama ufundi wa kupiga penati
Magoli ya Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza, Tazama ufundi wa kupiga penati

#GeitaGold #Mbeyakwanza #nbc #azamtv #mpenjatv #geita #mbeyakwanza #ligikuu Tazama Magoli ya Penati, Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza leo Tarehe 27/12/2021. Magoli yakifungwa na George Mpole dakika ya 51 na la Mbeya kwanza likifungwa na Habib Kyombo dakika ya 81.



🔴#LIVE: GEITA GOLD FC 1 - 1 MBEYA KWANZA FC LEO,  MAGOLI YOTE.
🔴#LIVE: GEITA GOLD FC 1 - 1 MBEYA KWANZA FC LEO, MAGOLI YOTE.

#geitagold #geitagoldfc #geita #mbeyakwanza #mbeyakwanza #live #hengetv




« Previous Next »


Popular Tags

#Stephen Curry  #Amazing Solo Goals  #Kawhi Leonard  #Football Defensive Skills  #Russell Westbrook  #Lionel Messi  #Miami Heat  #Chris Paul  #Football Defensive Skills  #Shot Goals  

Popular Users

#MikePereira  #themichaelowen  #TimTebow  #BringerOfRain20  #instagram  #nytimes  #DwyaneWade  #MariaSharapova  #JasonDufner  #kobebryant  #nfl  #Joey7Barton  #Cristiano  #blakegriffin23