#Tanzania#DRCongo#FriendlyMatch 🔴#LIVE TANZANIA VS DR CONGO - FRIENDLY MATCH { 1 - 1 }
Magoli Yote TP MAZEMBE 4-1 SIMBA SC LEO #CafChampionsLeague #SimbaSC #TPMazembeSimbaSC #TPMSSC #DRC #DRCongo #CAF #ZBC2 #CafCL #SSC #MagoliYoteTPMazembe4-1SimbaSC
HT Magoli yote TP MAZEMBE 2-1 SIMBA SC #CafCL Mapumziko: Half Time TP Mazembe 2-1 Simba SC. Mechi iko LIVE #ZBC2 #CafChampionsLeague #SSC #SimbaSC #TPMazembeSimbaSC #TPMSSC #DRC #DRCongo #CAF
NAHODHA wa TP Mazembe, Rainford Kalaba, amesema kuwa kitendo chao cha kushindwa kupata bao lolote katika mchezo wa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa dhidi ya Simba kimewaweka katika nafasi mbaya ya kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #DreamOnlineTv #TPMazembe #DrCongo