KIGELEGELE YANGA AONGEA KIINGEREZA BAADA YA KUSHINDA DODOMA/SIMBA SC TUMEWAWEKA KWENYE JEZI...
KIGELEGELE YANGA AONGEA KIINGEREZA BAADA YA KUSHINDA DODOMA/SIMBA SC TUMEWAWEKA KWENYE JEZI...

Ni Jumapili iliyopambwa kwa Nakshi za Zabibu na Wananchi wenye Jangwani yao,Ambapo itapigwa Mbungi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Fc dhidi ya Yanga Sc, kwenye Dimba la Jamhuri lililobarikiwa kuwepo kwenye Makao Makuu ya Nchi ya Tanzania ,Jijini Dodoma, Ni Saa kumi Jioni. #MpenjaTv #YangaSc #DodomaJijiFc #DaudiYanga



TAZAMA!!! MAGOLI YOTE LEO | SIMBA VS DODOMA JIJI FC | 2-0 | NBC PREMIER LEAGUE 2021/22
TAZAMA!!! MAGOLI YOTE LEO | SIMBA VS DODOMA JIJI FC | 2-0 | NBC PREMIER LEAGUE 2021/22

Ligi Kuu Ya NBC Imeendeleea Leo Na Mchezo Wa Mwisho Ulikuwa Kati Ya Simba SC Pamoja Na Dodoma Jiji FC Na Mabingwa Hawa Watetezi Simba SC Wamemaliza Mechi Kwa Ushindi Wa Mabao Mawili Dhidi Ya Sifuri Ya Dodoma JiJi fc....Magoli Yalifungwa Na Clatous Chota Chama Pamoja Na MK14 . . . KWA HABARI ZA MICHEZO KAMA HIZI USIACHE KUSUBSCRIBE CHANNEL YETY UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE..... BUBOrankTV Keep It Live Baby!!! . . CREDITS TO : @AZAMTV 💪👊⚽ #simbasc #dodomajijifc #highlights



LIVE: Uchambuzi mechi ya Yanga SC vs Mbao FC ( FT: 1 - 0 ) - Weekendsports - JAN 29, 2022
LIVE: Uchambuzi mechi ya Yanga SC vs Mbao FC ( FT: 1 - 0 ) - Weekendsports - JAN 29, 2022

#kissfmtanzania #yangasc #weekendsports #mbaofc TIME: 15:00 -19:00hrs Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/kissfmtanzania​ Instagram: https://www.instagram.com/kissfmtanza... Facebook: https://www.facebook.com/kissfmtanzani



GOLIKIPA WA DODOMA JIJI AMVULIA KOFIA MAYELE/AMPA AUCHO MAN OF THE MATCH MSIKIE HAPA..
GOLIKIPA WA DODOMA JIJI AMVULIA KOFIA MAYELE/AMPA AUCHO MAN OF THE MATCH MSIKIE HAPA..

Leo Desemba 31, ni funga mwaka 2021, Mpenja TV ipo uwanja wa Benjamin Mkapa kukuletea Habari zote moto moto za mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya NBC kwa mwaka 2021 kati ya Vinara Yanga SC na Walima Zabibu, Dodoma Jiji FC. Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Golikipa wa Dodoma Jiji Hussein Salum Masalanga ambaye amefunguka kiwango alichokionyesha Mayele na Aucho msikie hapa.. #YangaSCVsDodomaJiji #Yanga #DodomaJijiFC #FungaMwaka2021 #NBCPremierLeague #MpenjaTV




« Previous Next »


Popular Tags

#Goalkeeper Saves  #Michael Jordan  #Zlatan Ibrahimovi  #Best Goals  #Sergio Aguero  #Kawhi Leonard  #Chicago Bulls  #Best Ball Controls  #Philadelphia 76ers  #New York Knicks  

Popular Users

#taylorswift13  #LilTunechi  #katyperry  #ArianaGrande  #MieshaTate  #SportsCenter  #DjokerNole  #SrBachchan  #SHAQ  #SteveNash  #BizNasty2point0  #steveaustinBSR  #billbarnwell