🔴#LIVE: YANGA WAGOMA KUCHEZA MECHI NA SIMBA, WAONDOKA UWANJANI MAPEMA, MASHABIKI WACHARUKA... Mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, uliopangwa kufanyika leo Jumamosi, kuanzia saa 1:00 jioni umehairishwa na Shirikisho la Soka Tanzania mpaka siku nyingine. Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara umeahirishwa kutokana na wachezaji wa Yanga na Benchi lao la Ufundi kuondoka katika uwanja wa Mkapa baada ya kuingia uwanjani saa 11:00 jioni na kusubiri kwa dakika 15 bila kumuona mpinzania wake, Simba uwanjani. Awali mchezo ulipangwa kuanza saa 11 jioni lakini ulisogezwa hadi saa 1 usiku. Wakati Yanga anaondoka, Simba nao wakaingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo tayari kwa kuingia uwanjani kukabiliana ya Yanga saa 1:00 usiku. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: YANGA WALIVYOPASHA MISULI SAA CHACHE KABLA YA KUGOMA NA KUONDOKA UWANJANI.... LEO ndio Leo, Global TV imefika katika uwanja wa Mkapa jijini Dar na kushuhudia umati mkubwa wa mashabiki wa Simba na Yanga, wakiwa wamefurika kwenye sikukuu ya soka nchini... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
PART 2: MENEJA wa TSHABALALA Afunguka TIMU ATAKAYOSAINI TSHABALALA, SIMBA au YANGA?... MDAU wa Soka nchini, Elly Mzozo, ambaye pia ni meneja wa Mchezaji wa Simba SC Tshabalala, na ameeleza safari ya mchezaji huyo mpaka kufikia katika klabu hiyo.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: KAULI ya CEO wa SIMBA Baada ya KUIFUNGA AS VITA - "TUTAWAONESHA AL AHLY Nani ni BINGWA" Mtanange wa marudiano wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya makundi, kati ya SIMBA SC vs AS VITA, umechezwa leo Aprili 03, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Mnyama kulipa kisasi kwa kumchapa Vita mabao ( 4 - 1).... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
SIKIA HAJI MANARA ALIVYO UNGURUMA KAMA SIMBA / S VITA HAWATOKI KWA MKAPA TUNAWAFUNGA #HAJIMANARA #SIMBA #SVITA
AISEE! SIMBA kwa MAZOEZI Haya, AS VITA HAWACHOMOKI, MORRISON, WAWA Wageuka KIVUTIO... Wachezaji wa timu ya Simba SC, wameendelea na mazoezi ya kufa mtu kwa ajili ya kuvaana na klabu ya AS Vita katika mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa Afrika utakaochezwa katika dimba la Mkapa jijini Dar, Jumamosi ya Aprili 03... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
MWL KASHASHA AICHAMBUA SARE ya SIMBA SC vs TZ PRISON - "HIKI ni KIPIMO Kwa SIMBA".. MCHAMBUZI wa Soka, Mwalimu Kashasha amesema kuwa mchezo wa Simba SC vs Tz Prison ni kipimo kizuri kwa klabu ya Simba ambayo inakwenda kukipiga na Al Merrikh wikiend hii.. Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa pili kati ya, SIMBA SC vs TANZANIA PRISONS, umechezwa leo Machi 10, katika dimba la Mkapa jijini Dar.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa sare ya mabao ( 1- 1), ambapo wajelajela walitangulia kupitia kwa Salum Kimenya na baadae Simba wakasawazisha kupitia kwa Luis Miqquisone... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
#LqrryBwalya#ClatousChama#Simbasc#JKTTanzania#Taifa TAZAMA BWALYA NA CHAMA MAUFUNDI NA UDAMBWIDABWI DHIDI YA JKT TANZANIA