Telegram: https://t.me/KidanistarsTV DAKIKA 90, zimekamilika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Red Arrows katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika. Mabao mawili ya Bernard Morrison dakika ya 17, 78, na Meddie Kagere dakika ya 19, yametosha kuipa ushindi mnono mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara. Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote kufanya mabadiliko ambapo Simba ilimtoa beki Pascal Wawa na nafasi yake ikichukuliwa na Henock Inonga ili kuiongezea nguvu safu ya ulinzi. Kwa upande wa Red Arrow ilifanya mabadiliko kwenye eneo la ushambuliaji akitoka Felix Bulaya na nafasi yake ikichukuliwa na Ricky Banda. Kuingia kwa Inonga kulileta utulivu kwenye eneo hilo kutokana na urefu wake wa kucheza mipira mingi ya kichwa ambayo ilikuwa inatumika kama njia mbadala ya kutafuta mabao. Dakika ya 57, Prosper Chiluya wa Red Arrows alipata kadi nyekundu baada ya kadi mbili za njano na kuendelea kuigharimu timu yake iliyokuwa ikihitaji kusawazisha mabao hayo. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
🔴#LIVE: SIMBA SC vs YANGA SC FT ( 1 - 0 ) - FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO, LAKE TANGANYIKA KIGOMA LEO ndio siku ya kumaliza ubishi uliodumu kwa takribani wiki 3. Watani wa jadi wanakutana kwenye dimba la Lake Tanganyika mkoani Kigoma kupambania kombe la shirikisho (FA)... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
MZEE MPILI KAPATA MBABE WAKE, KADUGUDA AMVAA - "MTOTO MDOGO HUYO, NITAMUONESHA" MABINGWA wa ligi kuu Tanzania bara kwa mara ya nne mfululizo, Simba SC, wamekabidhiwa ubingwa wao rasmi leo Julai 18, 2021, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
SHANGWE la MASHABIKI wa SIMBA Baada ya KUCHUKUA UBINGWA - "TUNAWASUBIRI YANGA" ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: SIMBA SC vs YANGA SC ( 0 - 1 ) - DERBY ya KARIAKOO (VPL), UWANJA wa MKAPA.. NI mtanange wa Dakika 90 wa kukata na shoka kati ya SIMBA vs YANGA, unachezwa leo Julai 03, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline