MWL KASHASHA AICHAMBUA SARE ya SIMBA SC vs TZ PRISON - "HIKI ni KIPIMO Kwa SIMBA".. MCHAMBUZI wa Soka, Mwalimu Kashasha amesema kuwa mchezo wa Simba SC vs Tz Prison ni kipimo kizuri kwa klabu ya Simba ambayo inakwenda kukipiga na Al Merrikh wikiend hii.. Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa pili kati ya, SIMBA SC vs TANZANIA PRISONS, umechezwa leo Machi 10, katika dimba la Mkapa jijini Dar.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa sare ya mabao ( 1- 1), ambapo wajelajela walitangulia kupitia kwa Salum Kimenya na baadae Simba wakasawazisha kupitia kwa Luis Miqquisone... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline