Usisahau ku-subscribe, ku-comment, kushare na ku-like..
Coastal Union imelazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba KMC Complex, Dar es Salaam. Simba wametangulia kwa magoli mawili kipindi cha kwanza kutoka kwa Mohamed Hussein Zimbwe Jr. na Lionel Ateba kwa penati , lakini Coastal wakacharuka kipindi cha pili na kupata magoli mawili kupitia kwa Abdallah Hassan na Hernest Malonga.... Tazama highlights....
LIGI ZIMERUDI • Pata mikeka ya uhakika • Mikeka inakufata yenyewe kwenye sim yako • Huduma ni kila siku Gusa link hii 👉🏾 https://rb.gy/1im9c8 ili kupata MAOKOTO YA UHAKIKA.
Jana Simba SC ilifanikiwa kucheza mchezo wa kirafiki na Al-hilal ya Sudan na mchezo kumalizika kwa sare ya bao 1-1 katika dimba la KMC Complex Heavyweight Dullah anatupitisha katika mchezo huo na jinsi ambavyo kocha Fadlu alivoingia Kimbinu dhidi ya Al-hilal Inayonolewa na Kocha Florent Ibenge Kama unataka kuungwa kwenye Group letu la SIMBA PRO tuma ujumbe kwa namba 0626629644 ili uweze kuungwa kwenye group letu
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
FRIJI BOVU AKOSHWA NA KIWANGO CHA ATEBA NA CHASAMBI HII SIMBA INAWEZA FIKA NUSU FAINALI SHIRIKISHO #footballclub #simba #simbasc #wasafi #yanga #azamfc #football #globaltvonline #live #millardayo