#Yangasc #Tetesizausajili #UsajilimpyaYangasc Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Juma Abushir AKA Messi wa Chuga Miaka 18 attacking midfield kutoka Fountain Gate alihitajika krc Genk ,yanga wametoa Milion 100 kuvunja mkataba na atalipwa mshahara wa Milion 5 Kila mwezi kutoka kulipwa Laki 6 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United deal done 4. Azizi Ki wanasubiri avunje mkataba na Al Ittihad 5.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast 馃嚚馃嚠,Samba Kon茅 (23) 鉁匶anga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. 鉂孠one anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria 馃嚛馃嚳. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 6. Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 7. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 8. Idd Nado kutoka Azam FC Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja 馃煝馃煛 HII HAPA LIST YA WACHEZAJI WA KIGENI WA YANGA SC 馃敯 1.馃嚥馃嚤 Djigui Diarra 2.馃嚚馃嚠 Yao Kouassi 3.馃嚚馃嚛 Chadrack Boka 4.馃嚙馃嚜 Frank Assink 5.馃嚞馃嚦 Balla Cont茅 6.馃嚢馃嚜 Duke Abuya 7.馃嚚馃嚛 Maxi Nzengeli 8.馃嚥馃嚤 Mohamed Doumbia 9.馃嚘馃嚧 Laurindo Depu 10.馃嚭馃嚞 Allan Okello 11.馃嚚馃嚠 Pacome Zouzoua 12.馃嚞馃嚥 Buba Jammeh 13.馃嚙馃嚜 Lassine Kouma 14.馃嚙馃嚜 C茅lestin Ecua
#Yangasc #Tetesizausajilimpya #WachezajiwapyaYangasc #alikamwe #hansrafael #Uchambuziwamichezo #mchomemapovu #Enghersisaidi Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Azizi Ki 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United. 4.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast 馃嚚馃嚠,Samba Kon茅 (23) 鉁匶anga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. 鉂孠one anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria 馃嚛馃嚳. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 5. 馃毃Taarifa za usajili zinaeleza kuwa klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 6. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja
CANAL SOLO AUDIO | Disfruta de las incidencias del encuentro entre Marinos de Anzo谩tegui y Gaiteros del Zulia EN VIVO ...
Narraci贸n: Luis Enrique Sequera Comentarios: Darwin Manuel Silvera Comerciales: Jorge Luis Centeno Transmisi贸n oficial a ...
CANAL SOLO AUDIO | Disfruta las incidencias del cuarto encuentro de la semifinal de la temporada 2026 de la SPB entre ...
CANAL SOLO AUDIO | Disfruta las incidencias del juego n煤mero 3 de la serie entre Gaiteros del Zulia y Marinos de Anzo谩tegui ...
CANAL SOLO AUDIO | Disfruta las incidencias del juego n煤mero 2 de la serie entre Gaiteros del Zulia y Marinos de Anzo谩tegui ...
Narraci贸n: Luis Enrique Sequera (@SequeraNet) Comentarios: Darwin Manuel Silvera (@darwinismo888) Comerciales: Jorge ...