"Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market" #sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate

Tazama magoli yote ya Mechi ya Azam Sports Fedearion Cup kati ya Singida Big Stars dhidi ya Mbeya City. Magoli ya Singida BS yamefungwa Bruno Gomes, Francy Kazadi na Bright Adjei Huku goli la kufutia machozi la Mbeya City likifungwa na Eliud Ambokile
Timu ya Mbao FC imelazimika kutoka nyuma na kusawazisha mabao mawili iliyokuwa imefungwa na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2. Katika mchezo mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza, Mbao ikiwa mwenyeji, Mbeya City imetangulia kupata bao dakika ya 12 kupitia kwa Iddy Selemani Nado, kabla ya Eliud Ambokile kuifungia bao la pili dakika ya 48. Akitokea benchi, Evarigistus Mujwahuki ndiye aliyeifungia Mbao FC mabao yote mawili dakika ya 83 na dakika ya 90+4.
Timu ya Mbao FC imelazimika kutoka nyuma na kusawazisha mabao mawili iliyokuwa imefungwa na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2. Katika mchezo mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza, Mbao ikiwa mwenyeji, Mbeya City imetangulia kupata bao dakika ya 12 kupitia kwa Iddy Selemani Nado, kabla ya Eliud Ambokile kuifungia bao la pili dakika ya 48. Akitokea benchi, Evarigistus Mujwahuki ndiye aliyeifungia Mbao FC mabao yote mawili dakika ya 83 na dakika ya 90+4. Haya hapa mabao yote.
Dakika 90 za mchezo wa Ligi Kuu Bara baina ya Yanga na Stand United umemalizikwa kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 4-3. Mechi hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam imeshuhudiwa mabao ya Yanga yakikwekwa kimiani na Mrisho Khalfan Ngassa, Andrew Vincent na Deus Kaseke. Wakati huo mabao matatu ya Stand United 'Hat Trick' yamewekwa kimiani na Alex Kitenge ambaye ameondoka na mpira. Ushindi huo kwa Yanga unawafanya kufikisha jumla ya alama 6 sawa na Stand United United iliyopoteza. Wakati huo huo Mbeya City iliyokuwa Uwanja wake wa nyumbani ikicheza na Alliance School ya Mwanza imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Mbeya City wamejipatia mabao hayo kupitia kwa Victor Hanganya na Eliud Ambokile.

#YANGA #STANDUNITED MAGOLI Yote ya Yanga VS Stand Utd 4- 3 Dakika 90 za mchezo wa Ligi Kuu Bara baina ya Yanga na Stand United umemalizikwa kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 4-3. Mechi hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam imeshuhudiwa mabao ya Yanga yakikwekwa kimiani na Mrisho Khalfan Ngassa, Andrew Vincent na Deus Kaseke. Wakati huo mabao matatu ya Stand United 'Hat Trick' yamewekwa kimiani na Alex Kitenge ambaye ameondoka na mpira. Ushindi huo kwa Yanga unawafanya kufikisha jumla ya alama 6 sawa na Stand United United iliyopoteza. Wakati huo huo Mbeya City iliyokuwa Uwanja wake wa nyumbani ikicheza na Alliance School ya Mwanza imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Mbeya City wamejipatia mabao hayo kupitia kwa Victor Hanganya na Eliud Ambokile. http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..