KITENGE :YANGA AFRICAN WAMEVUNJA MWIKO KUIFUNGA USM ALGER #YANGA #SIMBA #USMALGER.
SIKIA SHOMBO za MBOTO kwa USM ALGER - "TUNGESHINDA 4 FIGISU TU za WAARABU, TUMEKUFA KIVURUGU ZAO" ...
Mon Instagram : http://instagram.com/samfootx Mon Tiktok : https://tiktok.com/@samfootx
simbasctanzania #usmalger #yanga #htmnews #simba #yangatv #simbasc #morrison.
usmalger #yanga #htmnews #simba #yangatv #simbasc #morrison #simbasctanzania #azamtv #globaltvonline #millardayo ...
MAGOLI YOTE: USM ALGERS 0-1 YANGA/EXTENDED HIGHLIGHTS/CAF CONFEDERATION CUP FINAL 2023.
USM Alger walishinda kwenye Dimba la Benjamin Mkapa na Yanga wameenda kushinda Kwenye Dimba la July 5, kila mmoja ameshindwa kwenye Ardhi ya Ugenini lakini Kombe limeenda kwa USM Alger. Hii ni tathmini ya Gharib Mzinga 'KILWA FINEST' Kuhusu Mchezo wa Pili wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mzinga ameeleza kuhusu mipango ya Timu za Algeria kuhakikisha wanakuza vipaji na kufikia Nchi ya ahadi yenye Mafanikio ya Kisoka. Aidha ameeleza kuwa USM Alger hawajabadilika bali Yanga ndio walibadilika.