MTBPLS #MTIBWAPOLISI #nbcpremierleague #POLISITZ #MTIBWA #MTIBWASUGAR.
Magoli yote Mtibwa Sugar dhidi Polisi Tanzania tarehe 21 Nov 2022 #MTBPLS #MTIBWAPOLISI #nbcpremierleague #POLISITZ ...
Mchezo wa tano ligi kuu ya NBC (NBC Premier League) msimu wa 2021-22 tukicheza na Dodoma Jiji FC katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam na mchezo kuisha kwa kupoteza ya 1-0 tarehe 30th Oktoba 2021. #NBCPL #MtibwaSugar #DodomaJijiFC
Mchezo wa tatu ligi kuu ya NBC (NBC Premier League) msimu wa 2021-22 tukicheza na Geita Gold katika uwanja wa Nyankumbu, Geita na mchezo kuisha kwa sare ya 1-1 tarehe 16th Oktoba 2021. #NBCPL #MtibwaSugar #GeitaGold
Mchezo wa pili ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2021-22 tukicheza na Tanzania Prisons katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam na mchezo kuisha kwa sare ya bila kufungana tarehe 03rd Oktoba 2021. #TPL #MtibwaSugar #TanzaniaPrisons
Mchezo wa kwanza ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2021-22 tukicheza na Mbeya kwanza katika uwanja wa Mabatini Mlandizi, Pwani na mchezo kuisha kwa kupoteza kwa goli 0-1 tarehe 27th September 2021. #TPL #MtibwaSugar #MbeyaKwanza
Mchezo wetu wa ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2020-21 ikiwa ni Highlight dhidi ya IHefu SC ulioisha kwa sare ya 1-1 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro tarehe 17 February 2021.