Mtibwa Sugar 0-1 Mbeya Kwanza #TPL 2021-22 HIGHLIGHTS
Mchezo wa kwanza ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2021-22 tukicheza na Mbeya kwanza katika uwanja wa Mabatini Mlandizi, Pwani na mchezo kuisha kwa kupoteza kwa goli 0-1 tarehe 27th September 2021.
#TPL #MtibwaSugar #MbeyaKwanza