Content removal request!


Geita Gold 1-1 Mtibwa Sugar HIGHLIGHTS #NBCPL 2021-22

Mchezo wa tatu ligi kuu ya NBC (NBC Premier League) msimu wa 2021-22 tukicheza na Geita Gold katika uwanja wa Nyankumbu, Geita na mchezo kuisha kwa sare ya 1-1 tarehe 16th Oktoba 2021. #NBCPL #MtibwaSugar #GeitaGold