Mchezo wa tano ligi kuu ya NBC (NBC Premier League) msimu wa 2021-22 tukicheza na Dodoma Jiji FC katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam na mchezo kuisha kwa kupoteza ya 1-0 tarehe 30th Oktoba 2021. #NBCPL #MtibwaSugar #DodomaJijiFC