Mtibwa Sugar 0-0 T. Prisons #TPL HIGHILIGHTS 2021-22
Mchezo wa pili ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2021-22 tukicheza na Tanzania Prisons katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam na mchezo kuisha kwa sare ya bila kufungana tarehe 03rd Oktoba 2021.
#TPL #MtibwaSugar #TanzaniaPrisons