MBWADUKE: CRUCIAL WIN! BENCHIKHA ATUMIA OBJECTIVE FOOTBALL KUZOA POINTI 3/ CHAMA, NTIBAZONKIZA... by @Mbwaduke Stats - Post Details

MBWADUKE: CRUCIAL WIN! BENCHIKHA ATUMIA OBJECTIVE FOOTBALL KUZOA POINTI 3/ CHAMA, NTIBAZONKIZA...

Simba wameshinda 1-0 dhidi ya wenyeji JKT katika mechi ngumu kwenye uwanja ambao Simba hawajawahi kuchezea hapo kabla wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni, jijini Dar es Sakaam. Je, ilikuwa ni mechi ya aina gani? msiklilize mchambuzi wako, Ramadhani Mbwaduke "Mzee wa Data". #jkt #chama #simba #babacarsarr #geitagold #kayoko #ivorycoast #nigeria #benchikha #taboraunited #clatouschotachama #paomarjobe #saidontibazonkiza #dodomajiji #mudathir #josephguede #inonga #drc #chama #kagereasugar #mashujaa #josephguede #newamanicomplex #okrah #afcon #ibrabacca #pacome #fredymichaelkoublan #josephguede #paomarjobe #babacarsarr #Baleke #jamhuri #gsm #modewji #imoro #cortes #jezimpya #kramo #taifastars #kibu #adelamrouche #taifastars #livestreaming #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #luismiquissone #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #mgunda #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #yanga

Similar Posts!

MBWADUKE: FOX IN THE BOX! GUEDE ANA BALAA/ KWA JANJA YAKE HII ATAIFUNGIA SANA YANGA/ KI, PACOME...
MBWADUKE: FOX IN THE BOX! GUEDE ANA BALAA/ KWA JANJA YAKE HII ATAIFUNGIA SANA YANGA/ KI, PACOME...

MASAHIHISHO Kumradhi. Katika Ligi Kuu NBC Guede amefikisha mabao manne (na siyo matatu). Hiyo ni baada ya bao lake dhidi ya Coastal Union lililoipa Yanga ushindi wa 1-0. By Mhariri Mbwaduke Stats "Spoti Next Level" Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...



MBWADUKE: SCANDAL? OHOO! YANGA WAZIDI KUISHIKA PABAYA CAF/ REFA NA WENZAKE...
MBWADUKE: SCANDAL? OHOO! YANGA WAZIDI KUISHIKA PABAYA CAF/ REFA NA WENZAKE...

UFAFANUZI Kumradhi kuna mahala Mzee wa Data ameteleza. Tukio la Lomalisa kupewa kadi ya njano lilikuwa ni pale alipomchezea faulo Khuliso Mudau na siyo Peter Shalulile. By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level" Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...