WIKI ILIOBEBA HATIMA YA SIMBA 

Mechi ya leo dhidi ya Azam itaamuwa harakati za simba kwenye ubingwa wa NBCPL

Mechi ya jumamosi dhidi ya vipers itaamua hatima ya simba kuvuka group stage

WIKI ILIOBEBA HATIMA YA SIMBA Mechi ya leo dhidi ya Azam itaamuwa harakati za simba kwenye ubingwa wa NBCPL Mechi ya jumamosi dhidi ya vipers itaamua hatima ya simba kuvuka group stage



#LigiKuu | MATCH DAY

Kuelekea mchezo wa leo Simba dhidi ya Azam, Saido Ntibanzonkiza na Moses Phiri ndio vinara wa magoli kwa upande wa Simba.
Kila mmoja ana mabao 10.

Upande wa Azam Mbombo ndio kinara.

#LigiKuu | MATCH DAY Kuelekea mchezo wa leo Simba dhidi ya Azam, Saido Ntibanzonkiza na Moses Phiri ndio vinara wa magoli kwa upande wa Simba. Kila mmoja ana mabao 10. Upande wa Azam Mbombo ndio kinara.



Simba SC wamefanikiwa kushinda kwenye michezo yao mitano (5) iliyopita.

Ambapo wamekusanya alama 15 kwenye mechi 5 za mwisho.

Leo anakutana na Azam FC, Je ataendeleza kutoa dozi!!?

#NBCPremierLeague πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Simba SC wamefanikiwa kushinda kwenye michezo yao mitano (5) iliyopita. Ambapo wamekusanya alama 15 kwenye mechi 5 za mwisho. Leo anakutana na Azam FC, Je ataendeleza kutoa dozi!!? #NBCPremierLeague πŸ‡ΉπŸ‡Ώ



🚨 Simba SC amepoteza mchezo mmoja mpaka sasa na amepoteza dhidi ya Azam FC ambao waliwafunga bao 1-0

Wanakutana tena kwa Mkapa ambapo Simba wapo nafasi ya 2 na alama 53,Michezo 22.

Huku Azam wakiwa nafasi ya 4 na alama zao 43,michezo 22.

Kesho: Simba SC vs Azam FC

NBCPL πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

🚨 Simba SC amepoteza mchezo mmoja mpaka sasa na amepoteza dhidi ya Azam FC ambao waliwafunga bao 1-0 Wanakutana tena kwa Mkapa ambapo Simba wapo nafasi ya 2 na alama 53,Michezo 22. Huku Azam wakiwa nafasi ya 4 na alama zao 43,michezo 22. Kesho: Simba SC vs Azam FC NBCPL πŸ‡ΉπŸ‡Ώ



"...Ukiniuliza wachezaji ninaowapenda pale Simba wapo wengi, ila wachezaji wenye ubora wa kucheza Azam FC ni Clatous Chama pekeake, wengine wote hawawezi kuingia kwenye kikosi chetu"

πŸ”Ž Hasheem ibwe - Afisa habari msaidizi wa Azam FC

"...Ukiniuliza wachezaji ninaowapenda pale Simba wapo wengi, ila wachezaji wenye ubora wa kucheza Azam FC ni Clatous Chama pekeake, wengine wote hawawezi kuingia kwenye kikosi chetu" πŸ”Ž Hasheem ibwe - Afisa habari msaidizi wa Azam FC



"Tutawapumzisha baadhi ya Wachezaji kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Azam FC''

©οΈ Robertinho - Kocha wa Simba SC

"Tutawapumzisha baadhi ya Wachezaji kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Azam FC'' ©️ Robertinho - Kocha wa Simba SC



#LigiKuu | Idriss Mbombo ndiye kinara wa mabao upande wa Azam akiwa na mabao 7 mpaka sasa,

Anafuatiwa na Abdul Hamis mwenye mabao 5.

Je kesho wataongeza mabao kwenye akaunti zao dhidi ya Simba?

#LigiKuu | Idriss Mbombo ndiye kinara wa mabao upande wa Azam akiwa na mabao 7 mpaka sasa, Anafuatiwa na Abdul Hamis mwenye mabao 5. Je kesho wataongeza mabao kwenye akaunti zao dhidi ya Simba?



#LigiKuu | Kuelekea mchezo dhidi ya Azam Saido Ntibanzonkiza na Moses Phiri ndio vinara wa mabao kwa upande wa Simba. Wana mabao 10 kila mmoja. Je kesho wataongeza idadi ya mabao kwenye akaunti zao?





« Previous Next »