|
fadheel29's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“ENZO BRAND C. E. O/JOURNALIST/ FOOTBALL PUNDIT/ RADIO & TV PRESENTER/ MOROGORO SCHOOL OF JOURNALISM-MSJ/ ONE MAN CAN CHANGE THE WRLD/ ALLAH 1ST/Insta:fadheel_29” Report User |
Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Wilfred akimkabidhi jezi ya Timu ya Taifa ya Tanzania πΉπΏ Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma baada ya kuwasili Misri πͺπ¬ kuiunga mkono Timu ya Taifa Stars ambayo leo inacheza na Uganda mchezo wa kufuzu AFCON 2023.
Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Lesotho π±πΈ hapo jana, kikosi cha timu ya Taifa ya ZambiaπΏπ² kimetua jijini Johannesburg usiku huu kwaajili ya mchezo wa Marudiano wa kuwania tiketi ya kushiriki AFCON 2023. Zambia πΏπ² itakuwa ugenini dhidi ya Lesotho π±πΈ Jumapili hii Machi 26.
RATIBA YA SOKA LEO JUMANNE TAR 14, MARCH 2023: EUROPE: Champions League - Play Offs 23:00 FC Porto vs Inter Milan Agg:0-1 23:00 Manchester City vs RB Leipzig Agg:1-1
π£ βNaijua vizuri Simba. Naelewa kuna vitu vimebadilika kwa sasa, lakini sio vyote mfano kuna wachezaji tulicheza nao na hadi sasa wapo kikosini, vivyo hivyo mambo kama falsafa naamini bado ni yaleyale.β - Juuko Murshid beki kisiki wa Vipers SC πΊπ¬.
VIPERS SC πΊπ¬ wakiwa nyumbani katika mechi 5οΈβ£ za mwisho katika mashindano ya CAF: π€ 0-0 vs CS Sfaxien β 0-1 vs Al Hilal β 1-0 vs Real Bangui π€ 0-0 vs TP Mazembe π€ 0-0 vs Horoya Leo: Vipers SC vs Simba SC βοΈ
Simba SC wamefanikiwa kushinda kwenye michezo yao mitano (5) iliyopita. Ambapo wamekusanya alama 15 kwenye mechi 5 za mwisho. Leo anakutana na Azam FC, Je ataendeleza kutoa dozi!!? #NBCPremierLeague πΉπΏ