Kuelekea #MzizimaDerby Simba sc lazima itaingia na pressure Kubwa sana na huenda ikawa Turning point ya Azam.

Simba wanahitaji kurudisha matumaini  kwa mashabiki mara baada ya kufanya vibaya kimataifa.

Wasiwasi wangu Over-Concentration huenda ikawatoa tena mchezoni.

Kuelekea #MzizimaDerby Simba sc lazima itaingia na pressure Kubwa sana na huenda ikawa Turning point ya Azam. Simba wanahitaji kurudisha matumaini kwa mashabiki mara baada ya kufanya vibaya kimataifa. Wasiwasi wangu Over-Concentration huenda ikawatoa tena mchezoni.

Juzi kwenye mechi ya Simba vs Raja 
Uwanja ulikua na watu takribani elfu hamsini 
Watu wenye morali na matumanimi 

Nashawishika kusema VunjaBei angeuza jezi 10k na zaidi kabla

Sina hakika na soko baada ya matokeo Haya, mpaka tumpige Azam na Vipers

Umuhimu wa kuwahi sokoni ๐Ÿ‘†

Juzi kwenye mechi ya Simba vs Raja Uwanja ulikua na watu takribani elfu hamsini Watu wenye morali na matumanimi Nashawishika kusema VunjaBei angeuza jezi 10k na zaidi kabla Sina hakika na soko baada ya matokeo Haya, mpaka tumpige Azam na Vipers Umuhimu wa kuwahi sokoni ๐Ÿ‘†

#MDUKUO: inasemekana kocha wa Simba Robertinho amepewa mechi mbili  ambazo ni Azam na vipers kupata matokeo ya ushindi na ikitokea amepoteza basi kibarua chake kitaota mbawa.
@Zao_zilonger @Common_Man_255 @Daddy_1O @alikomaster @Tracer1813

#MDUKUO: inasemekana kocha wa Simba Robertinho amepewa mechi mbili ambazo ni Azam na vipers kupata matokeo ya ushindi na ikitokea amepoteza basi kibarua chake kitaota mbawa. @Zao_zilonger @Common_Man_255 @Daddy_1O @alikomaster @Tracer1813

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira Robertinho, amesema kesho wanatarajia kupata upinzani mkali kutoka kwa Azam FC, lakini amekiandaa vizuri kikosi chake kupata pointi tatu.

#HabarileoUPDATES
#HabarileoMICHEZO

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira Robertinho, amesema kesho wanatarajia kupata upinzani mkali kutoka kwa Azam FC, lakini amekiandaa vizuri kikosi chake kupata pointi tatu. #HabarileoUPDATES #HabarileoMICHEZO

Mzizimaaaaaaaaaaaaaaaaah Derby.

Je ni nani ataonyesha mahala walipoificha??!! 

Je ni Simba Sc au Azam FC???.

Mzizimaaaaaaaaaaaaaaaaah Derby. Je ni nani ataonyesha mahala walipoificha??!! Je ni Simba Sc au Azam FC???.

« Previous