π¨ Simba SC amepoteza mchezo mmoja mpaka sasa na amepoteza dhidi ya Azam FC ambao waliwafunga bao 1-0 Wanakutana tena kwa Mkapa ambapo Simba wapo nafasi ya 2 na alama 53,Michezo 22. Huku Azam wakiwa nafasi ya 4 na alama zao 43,michezo 22. Kesho: Simba SC vs Azam FC NBCPL πΉπΏ
Live: VIPERS vs SIMBA, DAKIKA 90 za MOTO, MNYAMA KUREJESHA MATUMAINI?... | UCHAMBUZI KARIBU kwenye ...
Usikose kutazama kipindi cha Viwanjani kila Jumatatu, Jumatano na Ijumaa kuanzia saa 3:00 asubuhi kupitia #AzamSports1HD ...
Kivumbi cha Ligi Kuu ya NBC kinaendelea na Hapo kesho kwenye Uwanja wa Chamazi Complex Majira ya Saa 1:00 Jioni Azam ...
Wafahamu wapinzani wa Simba SC kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Vipers SC ya kutoka Uganda, hapa Ruqaiy ...
Msikie Mtangazaji wa Azam TV Hassan Mvula akikupitisha katika historia za Simba na Yanga kimataifa yaani Ligi ya Mabingwa ...
Tazama kipindi cha Kipyenga cha Mwisho na Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa ...