KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mazoezi ya Mwisho Simba Kabla Ya Kuwavaaa AS VITA Kesho Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC vs #ASVITA Kikosi cha Simba kimerejea jijini Dar kikitokea Algeria kilipokuwa kuivaa JS Saoura. Akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jana, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems ametamba kuwa kama wamewafunga Al Ahly na JS Saura basi As Vita nao wanakufa nyumbani. Simba jana ilirejea jijini Dar es Salaam ilipokwenda kucheza na JS Saoura ya Algeria katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambako walifungwa mabao 2-0. Timu hiyo, Jumamosi hii saa moja kamili inatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuvaana na Vita mchezo unaotarajiwa kujaa upinzani mkubwa. Akizungumza Mara baada ya kutua uwanja huo wa ndege, Aussems alisema kuwa tayari alishaanza maandalizi ya mchezo huo tangu akiwa Algeria na kikubwa anahitaji ushindi wowote ili kufanikisha malengo yao ya kwenda hatua ya robo fainali. Aliongeza kuwa, anawafahamu vizuri Vita ambao alicheza nao katika mchezo wa awali uliochezwa Congo Kinshasa, hivyo hana hofu baada ya kuyafanyia marekebisho baadhi ya makosa. "Mchezo wetu na Saoura ulikuwa mgumu kwa upande wetu kutokana ukubwa wa safari yenyewe ambao ulisababisha wachezaji kuchoka. "Tayari nimewaambia wachezaji wangu kusahau matokeo ya mechi na Saoura na badala yake kuelekeza nguvu katika mchezo na Vita. " Tunaamini mechi haitakuwa nyepesi kwetu, lakini kwa maandalizi niliyoyafanya na sapoti ya mashabiki ninaamini hatutapoteza mchezo huu, alisema na kuongeza. "Leo baada ya timu kurejea moja kwa moja tunaelekea kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huu. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati yao na AS Vita utakaopigwa Jumamosi ya wiki hii jijini Dar es Salaam Kuelekea mechi hiyo, Manara ametaja viingilio kuwa vitakuwa ni shilingi 3000 kwa mzunguko na Orange, VIP B 10,000 na VIP A 20,000 huku Platnums itakuwa ni 100,000. Tiketi ya Platnums itampa usafiri shabiki kwenda Uwanjani akitokea Serena Hotel mpaka Uwanjani na atakaa sehemu ambayo itaambatana na vinywaji huku akipewa na jezi. Simba inaedna kucheza na Vita ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kufungwa maba0 2-0 na JS Saoura katika mchezo wa mwisho uliopigwa huko Bechar, Algeria. Mbali na viingilo, Manara amewataka mashabiki Simba kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo kwani lengo lao kubwa ni kuhakikisha wanashinda na si kingine. Manara ameeleza uwepo wa mashabiki na haswa wakifika 60,000 itakuwa jambo jema katika kuleta hamasa kwa wachezaji siku hiyo. Mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu na wadau wa mpira hapa nchini, itapigwa majira ya saa 1 za usiku katika Uwanja wa Taifa. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Manara Azindua "DO or DIE" Dhidi Ya AS VITA Jumamosi Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MAKOSA ya safu ya ulinzi ya Simba, jana yaliigharimu timu hiyo na kujikuta ikipigwa mabao 2-0 na JS Saoura nchini Algeria lakini wamesisitiza kwamba nguvu zote sasa ni kwa AS Vita Jumamosi. Simba sasa imeelekeza nguvu zote kwenye mechi ya AS Vita ili kucheza karata ya mwisho ya kutafuta nafasi ya kufuzu robo fainali. Hesabu zinaibeba Simba kwani ikishinda mchezo huo itafi kisha pointi tisa na kusonga mbele. Kwenye mechi ya jana safu ya ulinzi ya Simba chini ya Paschal Wawa, Mohammed Tshabalala na Paul Bukaba haikuwa na uelewano mzuri jambo ambalo liliwapa Saoura nguvu ya kushambulia. Mabao ya wenyeji yalifungwa na Yahya Sherrif kwa shuti la kiufundi huku la pili likipachikwa na Mohammed Amine kwa penalty. Amine alifanyiwa faulo na Bukaba ambaye kipindi cha kwanza nusura ajifunge alipokuwa akiokoa. Sasa Simba imeelekeza nguvu zake kwa mechi ya Jumamosi saa moja usiku kwenye Uwanja wa Taifa ambayo wamesisitiza kwamba hata kama Mwinyi Zahera wa Yanga atauza siri zao kwa Vita potelea mbali lakini ushindi lazima. Kocha wa Simba,Patrick Aussems amefunga ukurasa wa mchezo wa jana na kuanzia leo ni kazi moja tu huku mashabiki nao wakisisitiza kupambana. Zahera aliliambia Spoti Xtra kwamba; “Simba atamfunga Vita kwenye Uwanja wa Taifa na wanaweza kwenda robo fainali, lakini haiwezi kubeba ubingwa wa Afrika.” “Haina timu yenye uwezo huo. Lakini ni ukweli usiofi chika kwamba mimi Vita nitawapa mbinu za Simba kwavile wale ni rafi ki zangu na kocha wao ni bosi wangu kwenye timu ya Taifa. “Siwezi kuwafi cha, ila itakuwa ni mechi ngumu sana na nzuri,”alisema Zahera ambaye anadai kwamba Simba inamuombea mabaya kwenye Ligi Kuu na FA. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Simba wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Lipuli FC. Sasa wamefikisha pointi 48 kwenye mechi 19. WAFUNGAJI: Nonga 18' Chama 6', 45' Kagere 60' Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars 90+1 Kagere nje ndani Salamba Zinaongezwa dakika 4 90 zinakamilika 89Zana anachezewa rafu na Paul Nonga88 Kona kwa Simba Boco anapiga kichwa Kagere anamalizia goli boco anacheza faulo linakataliwa. 87 Mpira wa kwanza wa Niyonzima anatoa pasi kwa Mzamiru 84 Niyonzima anaingia anatoka Chama 82 Manula,Kagere anapiga shuti linakwenda nje 81 Dilunga anakosa nafasi ya wazi akipewa pasi na Chama 80 Offside ya pili kwa Lipuli 65 Keneth Masumbuko anatoka Seif Karihe wa Lipuli. 64 Shamte anawapunguza wachezaji wa Simba shuti lake linaokolewa62 Dilunga anachezewa faulo, Saluboko Daruesha anaonyeshwa kadi ya njano 60 Shuti la kwanza la Dilunga linakuwa on target 59 Okwi anatoka anaingia Dilunga 57 Chama, Okwi, Kagere akachop kwa guu a kulia ndani 55. Nonga, Karihe, Ngalema, Fredy, William Galax anajaza ndani inakataliwa na Zana. 54 Boco anampa Chama, Kagere anapiga kichwa kinakwenda nje 53 Faulo anapiga Chama, Zana, Mlipili anapiga kichwa kinatoka nje. 52 Zana Chama, Bocco anapoteza, Kadi ya njano Seif Karihe. 50 Mohamed Yusuphu, Nonga, Wawa anatoa mpira nje, Ngalema, Jimy unatoka nje. 49 Nonga anapew huduma ya kwanza baada ya kugongana na Wawa. 48 Zana anamwaga maji yanatolewa nje na Shamte, Kona inapigwa na Okwi inatoka nje. Kipindi cha pili Mpira kwa sasa ni mapumziko Zinaongezwa dakika 3 45 Lipuli wanaotea 43 Chama anapiga bao la pili kwa free kick. 42 Manula, Yassin anachezewa faulo karibu na eneo la hatari. 40 Shamte, Zimbwe,Owi anachezewa faulo karibu na eneo la hatari. 38 ManulaMohamed Yusuphu anaunyaka 35 Chama anajaza maji yanakosa mchezaji kat 34 Karihe anacheza faulo kwa Mzamiru 32 Lipuli wanapiga kona ya nyingine 31 Faulo kwa Lipuli na Haruna Shamte inakuwa kona. 30 Zana anamwaga kubwa inatoka nje 29 Kona ya kwanza kwa Simba anapiga Okwi anampa Zimbe anajaza ndani inatoka nje. 28 Mlipili anamchezea rafu mchezaji wa Lipuli, unarushwa kwenda kwa Manula. 27 Okwi anapiga pembeni kichwa cha Kagere. 25 Mkude,Zimbwe, Kagere Yusuphu anaunyaka. 24 Okwi anajaribu mpira unatoka nje, Karihe, Zana, Chama unatolewa nje. 22 Okwi anapenyeza inaishia mikononi mwa mlinda mlango wa Lipuli. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Azam FC 3-1 jioni ya Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars