KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

FT: SIMBA 3-0 MBAO FC, Mashabiki Wajitokeza Jamhuri Moro
FT: SIMBA 3-0 MBAO FC, Mashabiki Wajitokeza Jamhuri Moro

#SimbaSC Vs MbaoFC Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars DAKIKA 90 za mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba na Mbao zimekamilika uwanja wa Jamhuri, Morogoro, kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0. John Bocco alianza kufunga bao la kuongoza kwa Simba dakika ya 24 akimalizia faulo iliyopigwa na Mohamed Hussein. Bocco alipachika bao la pili kwa Simba kwa mkwaju wa penalti baada ya mchezaji wa Mbao FC, Peter Mwangosi kunawa mpira uliopigwa na Mzamiru Yassin dakika ya 58. Meddie Kagere alipachika bao la tatu kwa Simba baada ya beki wa Mbao kumchezea rafu Kagere eneo la hatari na mwamuzi kutoa penalti iliyopigwa na Kagere dakika ya 79. Simba leo wameanzisha jeshi lao kamili huku mlinda mlango namba moja Aishi Manula akiwa ameanzia benchi akimtazama Deogratius Munish. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

Walichokisema Wachezaji Wa Taifa Stars Baada Ya Kufuzu Afcon 2019
Walichokisema Wachezaji Wa Taifa Stars Baada Ya Kufuzu Afcon 2019

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TANZANIA OYEEE, TAIFA STARS YAIGONGA UGANDA 3-0 NA KUFUZU AFCON 2019 TANZANIA imefuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda usiku huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo uliotokana na mabao ya kiungo wa Difaa Hassan El-Jadidi ya Morocco, Simon Happygod Msuva na mabeki, Erasto Edward Nyoni wa Simba SC na Aggrey Morris Ambroce wa Azam FC za nyumbani, Tanzania na Uganda kufuzu kutoka Kundi L. Taifa Stars imefuzu kama mshindi wa pili wa kundi kwa pointi zake nane, nyuma ya Uganda iliyomaliza na pointi 13 wakizipiku Lesotho iliyomaliza na pointi sita na Cape Verde pointi tano. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

Alichofanyiwa Kocha Amunike Baada Ya Taifa Stars Kufuzu AFCON

Wachezaji wa Uganda Walivyotua Kupigwa na Taifa Stars
Wachezaji wa Uganda Walivyotua Kupigwa na Taifa Stars

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TANZANIA imefuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo uliotokana na mabao ya kiungo wa Difaa Hassan El-Jadidi ya Morocco, Simon Happygod Msuva na mabeki, Erasto Edward Nyoni wa Simba SC na Aggrey Morris Ambroce wa Azam FC za nyumbani, Tanzania na Uganda kufuzu kutoka Kundi L. Taifa Stars imefuzu kama mshindi wa pili wa kundi kwa pointi zake nane, nyuma ya Uganda iliyomaliza na pointi 13 wakizipiku Lesotho iliyomaliza na pointi sita na Cape Verde pointi tano. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

Simba Kuivaa TP Mazembe Robo Fainali CAF
Simba Kuivaa TP Mazembe Robo Fainali CAF

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Droo ya CAF ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa Jumatano Machi 20, 2019 nchini Misri na wawakilishi pekee wa Tanzania, Wekundu wa Msimbazi Simba watacheza na TP Mazembe katika hatua hiyo na wataanzia nyumbani. #SimbaSC imefuzu robo fainali ikitokea Kundi D pamoja na Al Ahly iliyopangiwa kucheza na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika hatua hiyo na kuziacha AS Vita ya Congo na JS Saoura ambazo zitabaki kuwa watazamaji. Wekundu hao wataanzia nyumbani mchezo utakaopigwa kati ya Aprili 5-6, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na mechi ya marudiano itapigwa Lubumbashi, Congo kati ya Aprili 12-13. Droo hiyo iliyochezeshwa mbele ya wawakilishi wa Simba, Mtendaji Mkuu, Crescentus Magori na Mwenyekiti Swedi Nkwabi na ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki pamoja na wadau wa soka Afrika kwa jumla. Simba inacheza na #TPMazembe ambayo walikutana nayo kwa mara ya mwisho mwaka 2012 katika mashindano hayo. Katika mchezo huo, Simba walifungwa lakini walipata nafasi ya kusonga mbele baada ya TP Mazembe kukutwa na makosa ya kumchezesha mchezaji asiye na sifa. Ratiba kamili CS Constantine ya Algeria VS Esperance de Tunis ya Tunisia Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini VS Al Ahly ya Misri Horoya ya Guinea VS Wydady Casablanca ya Morocco Simba ya Tanzania VS TP Mazembe ya Congo Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

FT: Simba SC 2-0 Ruvu Shooting, Walivyotua Kibabe Taifa
FT: Simba SC 2-0 Ruvu Shooting, Walivyotua Kibabe Taifa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mpira umemalizika, kwenye dimbala Taifa, Simba wanaibuka na ushindi mwingine kutoka kwa maafande wa Ruvu Shooting. FT: Simba SC 2-0 Ruvu Shooting. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars #TanzaniaPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #SimbaSC #RuvuShooting

Mwalimu Kashasha Achambua Goli la Chama Simba Vs AS Vita
Mwalimu Kashasha Achambua Goli la Chama Simba Vs AS Vita

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mwalimu Kashasha Achambua Goli la Chama Simba Vs AS Vita Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

Alichosema Kocha wa As Vita Baada ya Kufungwa na Simba
Alichosema Kocha wa As Vita Baada ya Kufungwa na Simba

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports