#TPMAZEMBE #SIMBASC Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems alisema anatambua ugumu wa mchezo huo kutokana na rekodi nzuri ya Mazembe wakiwa nyumbani. Alisema maandalizi ya wiki moja waliyofanya yanamuaminisha kuwa tayari kuwapa changamoto Mazembe. "Hatuiogopi Mazembe bali tunaiheshimu, tunajua mchezo utakuwa mgumu kwa maandalizi ya nje ya uwanja lakini sisi tutapambana uwanjani," alisema. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars