KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC leo wameishushia kichapo kikali, Coastal Union ya Tanga baada ya kuibamiza mabao 7-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Ushindi huo unawafanya Wekundu hao wa Msimbazi wafikishe pointi 23, ingawa wanaendelea kubaki nafasi ya tatu wakizidiwa pointi mbili na vinara, Azam FC baada ya wote kucheza mechi 11. Katika mchezo wa leo, Nahodha John Raphael Bocco alifunga mabao matatu peke yake yote kipindi cha kwanza na mengine yakafungwa na viungo Mzambia Clatous Chama mawili, Mghana Bernard Morrison na mzawa Hassan Dilunga, kila mmoja moja. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/Kidanistars Kocha wa Coastal Union , Juma Mgunda akizungumza na Wanahabari mara baada ya mchezo kumalizika timu yake ikifungwa mabao 7-0 dhidi ya Simba HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAADA ya kuchezeshwa pira gwaride ndani ya dakika 180 kwa msimu wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu Bara na kuyeyusha pointi sita ilizokuwa inasaka Klabu ya Simba imeomba msamaha kwa mashabiki wao kutokana na kupitia mapito hayo magumu. Simba ambao ni mabingwa watetezi walianza kupoteza mchezo wa kwanza Oktoba 22 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Nelson Mandela na walipoteza pia mchezo wa pili Oktoba 26 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Uhuru. Nahodha wa Simba, John Bocco amesema kuwa kutokana na matokeo hayo ambayo wameyapata kwenye michezo miwili mfululizo wanahitaji msamaha kwa kuwa waliteleza na kuahidi kurejea kwenye ubora katika mechi zao zijazo. "Kwa niaba ya wachezaji tunaomba mtusamehe kwa matokeo tuliyoyapata ya michezo miwili iliyopita tuliteleza na tumeshateleza hatupaswi kuteleza tena. "Ahadi yetu kwetu kurekebisha makosa yetu na kurudi kwenye sura ya upambanaji mpya kwa michezo tu ijayo," amesema. Simba ipo nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa na pointi 13, imecheza mechi saba na kupoteza jumla ya pointi nane kwa kuwa imelazimisha sare moja na kushinda mechi mbili. Kinara ni Azam FC mwenye pointi 21 baada ya kucheza mechi nane ameshinda saba na kupoteza mechi moja anafuatiwa na Yanga nafasi ya tatu, pointi 19 amecheza mechi saba na ameshinda sita huku akiwa amelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Yanga SC wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga SC inayofundishwa Mserbia, Zlatko Krmpotic inafikisha pointi 13 baada ya ushindi huo katika mchezo wa tano, sasa ikiongoza Ligi Kuu kwa pointi tatu dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao wana mechi moja mkononi. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars