KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KLABU ya Namungo imejikuta ikikata tiketi ya kutinga hatua ya pili ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika wakiwa hotelini baada ya mchezo wao wa marudiano kufutwa dhidi ya Al Rabita. Taarifa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ni kwamba Shirikisho la Soka Afrika (Caf) imetangaza kuufuta mchezo huo wa marudiano ambao wenyeji walitakiwa kuwa Rabita sababu kubwa ikiwa kushindwa kwa kugharamiwa kwa waamuzi wa mchezo huo ambao ulitakiwa kupigwa baadaye jioni katika Uwanja wa Chamazi Complex nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Rabita waliomba mchezo huo upigwe katika uwanmja huo baada ya kushindwa kuchezwa nchini kwao Sudan kutokana na sababu za kiusalama ambapo Shirikisho la Soka Afrika (Caf) waliridhia ombi hilo. Taarifa ya TFF imesema Caf imetangaza uamuzi huo baada ya Chama cha Soka Sudan Kusini (SSFA) kushindwa kukamilisha taratibu kuhusu waamuzi waliopangwa kuchezesha mechi hiyo. "CAF wamefuta mechi ya kombe la Shirikisho kati ya Al Rabita FC Juba na Namungo FC iliyokuwa ichezwe leo jijini Dar es Salaam."imesema sehemu ya taarifa hiyo ya TFF HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Plateau United ya Nigeria wametua leo Dec 4, 2020 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam tayari kwa mchezo wao wa marudiano Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba Sc katika Uwanja wa Mkapa. Ikumbukwe kuwa Plateau walipoteza mchezo wao wa kwanza kwa kufungwa bao 1-0 na Simba katika Uwanja wa New Jos, Nigeria. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars "Ikitokea bahati mbaya mmoja wao amepenya kwenye uwanja kuja kutuzomea asipigwe, pira biriani litakalopigwa linaweza kumtia wazimu mwenyewe akaondoka"- Haji Manara kuelekea mchezo wa marudiano kati ya Simba SC na Plateau United ya Nigeria HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIKOSI cha Simba Desemba Mosi kimereja salama ndani ya ardhi ya Tanzania baada ya kuanza safari jana Novemba 30 kutoka mji wa Jos Nigeria na leo kilianzia safari Abuja kabla ya kuibukia Kilimanjaro. Wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika walishinda bao 1-0 dhidi ya Plateau United kwenye mchezo wa awali. Mchezo huo ulichezwa Novemba 29 ulikuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 huku ukitawaliwa na matukio mengi ya nje ya uwanja ikiwa ni pamoja na kuzuia tukio hilo kurushwa mubashara kupitia Television. Baada ya ushindi wa mchezo wa kwanza, Simba wanatarajiwa kurudiana Desemba 5, Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa pili ikiwa itashinda itasonga mbele kwenye hatua ya mtoano. Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kuwa wachezaji wote wapo salama jambo linalowapa nguvu kupambana kuelekea mchezo wao wa pili ambao utakuwa na ushindani mkubwa. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars