Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
“Unaweza kumuacha Chama halafu baadaye ukaanza kujuta” – Ahmed Ally kuhusu ishu ya kiungo wao Clatous Chama akifafanua sababu za kuchelewa kufanya maamuzi, asema hatma yake wanayo viongozi wa juu…. asisitiza “yule siyo mtu mchezaji wa kawaida”
Knock Down raundi ya saba imempa ushindi wa pointi Juma Choki dhidi ya Nasibu Ramadhan katika pambano kuu (main card) la Usiku wa Vitasa Dar Boxing Derby kwenye viwanja vya Posta , Kijitonyama, Dar es Salaam.
WAPE TABASAMU: Team Kibwana kwa mara ya tatu imekula kichapo safari hii ikipigwa 6-2 na Team Job katika mchezo wa hisani wa #WapeTabasamu2024 uliopigwa Uwanja wa jamhuri. Morogoro. Magoli ya Team Job yametoka kwa Eng. Hersi Said (13'), Said Ndemla (234'), Prince Dube (27'), George Mpole (78'), Samson Mbangula (79') na Edwini , Balua 90'+4. Magoli yote mawili ya Team Kibwa yamefungwa na Saimon Msuva dakika ya 30 kwa free-kick na dakika ya 47 kwa penati. Haya hapa magoli yote manane.
Tazama magoli yote matano na penati aliyokosa Alikiba katika mchezo wa hisani, Team FEIBUI ikiitandika Team SAMAKIBA mabao 3-2 kwenye Dimba la Amaan Complex, Zanzibar. Magoli ya FEIBUI (Fesal Salum Feitoto na Abdulaziz Makame) yamefungwa na Feisal Salum, Ibrahim Ahmada Hilika, na Dismas Novatus huku magoli ya SAMAKIBA (Mbwana Samatta na Alikiba) yakifungwa na Kelvin John 'Mbappe' na Mbwana Samatta. Dakika ya 24, Team SAMAKIBA walipata penati lakini Alikiba alikosa....
Tazama penati zote zilizopigwa kwenye mchezo wa fainali ya #crdbbankfederationcup kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC. Yanga imeshinda kwa jumla ya penati 6-5 na kutwaa kombe la Shirikisho la CRDB Benki kwa mara ya nne tangu lirejee mwaka 2015. Waliokosa penati kwa Yanga ni Stephane Aziz Ki, Joseph Guede na Ibrahim Abdullah Bacca. Waliokosa kwa Azam FC ni Iddy Nado, Gibril Sillah, Fuentes Mandoza na Lusajo Mwaikenda.
Tazama magoli yote matano yaliyofungwa kwenye mechi ya NBC Premier League kati ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons. Yanga imeshinda magoli 4-1. Stephane Aziz Ki amefunga hat trick na lingine limefungwa na Kennedy Musonda. Goli la Prisons limefungwa na Beno Ngasa
Joseph Guede, Maxi Nzengeli na Stephane Aziz Ki ndiyo waliotikisa nyavu za Tabora United na kuipa Yanga ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa raundi ay 29 #NBCPremierLeague ukipigwa Benjamin Mkapa Stadium. Goli alilofunga Aziz Ki dakika ya 90 kwenye mchezo ni goli lake la 18 kwenye ligi msimu huu akizidi kukifukuzia kiatu cha ufungaji bora, akiwa na mechi moja mkononi.
Feisal Salum amefunga magoli mawili Azam FC ikiibugiza Kagera Sugar mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi..... Magoli mengine kwenye mchezo huu yametoka kwa Gibril Sillah dakika ya 50’, Kipre Jr dakika ya 65' na Iddy Nado dakika ya 90, huku Feisal akifunga yake dakika ya 72 na 79.
Tazama Viongozi mbalimbali wa Yanga SC walivyoshangilia ushindi wao wakati mechi ikiendelea katika Dimba la Dodswill ...
Haya hapa mabao yote manne na matukio kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Azam FC, ...
Haya hapa mabao yote manne kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Azam FC, Mabao ya ...
Haya hapa magoli yote yaliyofungwa leo kwenye mchezo wa NBC Premier League ambapo Polisi Tanzania maada ya muda ...
Haya hapa magoli yote yaliyofungwa leo kwenye mchezo wa NBC Premier League ambapo Polisi Tanzania maada ya muda ...
KARIAKOO DERBY: Ni mechi iliyomalizika kwa Simba kushinda 2-0 dhidi ya Yanga huku wakiwa wameingia na 'surprise' ya ...
KARIAKOO DERBY: Hivi ndivyo magoli mawili ya Simba dhidi ya Yanga yalivyotangazwa kwa lugha ya Kiingereza na Peter Otai.
KariakooDerby Kocha wa Yanga, Mohamed Nabi alia na kona iliyozaa goli la kwanza kwa Simba. Hii hapa kauli yake baada ya ...