Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Debora Fernandes na Edwin Balua ndiyo waliotikisa nyavu, Simba ikiitandika APR FC ya Rwanda magoli 2-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki kuhitimisha sherehe za kilele cha #SimbaDay2024 ndani ya Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 ni Stephane Aziz Ki wa Yanga…… Cheki alivyopokea tuzo yake na kila kitu walichozungumza akiwa na Hamisa Mobeto baada ya kupigwa ‘surprise’ ya Dubai. Ni hafla ya tuzo za TFF kwenye ukumbi wa The Dome, Dar es Salaam LIVE #AzamSports1HD #TFFAwards2024 #TuzoZaTFF #TFFAwards #Tuzo #AzamMedia #SuperDome
#ToyotaCup: “…..kila kombe ni muhimu” – Clatous Chama kuhusu mchezo wa leo, azungumzia hali ya hewa, awakaribisha wananchi kwenye kilele cha Siku ya Mwananchi. FT: Kaizer Chiefs 0-4 Yanga SC (Dube 25’, Aziz Ki 45’+3, 63’, Mzize 57’) Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #ToyotaCup2024 #YangaSC #KaizerChiefs
#MpumalangaPremiersInternationalCup2024: “Kuna watu walikuwa na shidashida kidogo za ndoa, matatizo yameanza kupungua” maneo ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe akizungumzia namna mechi yao ya leo dhidi ya Augsburg ilivyoleta neema kwa baadhi ya watu. Ametolea ufafanuzi kuhusu ushiriki wao kwenye michauno ya #MpumalangaPremiersInternationalCup2024 Matokeo ni FC Augsburg 2-1 Yanga SC #MpumalangaPremiersInternationalCup2024 #Mpumalanga #YangaSC #FCAugsburg #AUGYNG
MpumalangaPremiersInternationalCup2024: Msikie Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akiwataja ...
“Mmekuja mmependeza lakini mnakuja kucheza na Yanga” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akielezea maneno aliyowaambia Augsburg baada ya kukutana nao uwanja wa ndege nchini Afrika Kusini. Kamwe pia amesema mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba SC, ni mechi ya kwenda kuwashona midomo. Yanga ipo Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya Mpumalanga Premier’s International Cup 2024 na Toyota Cup. Julai 20, Yanga itacheza dhidi ya Augsburg kwenye Mpumalanga Premier’s International Cup 2024, #YangaSC #Augsburg
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentus Magori na Meneja wa Habari wa timu hiyo Ahmed Ally wamezungumzia mchakato wa usajili ndani ya klabu hiyo na kutoa tafsiri ya ubwaya ubwela.
Rais wa Yanga SC, Hersi Said amefichua siri ya ushidni walioupata jana dhidi ya Rivers United kwenye mchezo wa mkondo wa ...
Tazama mambo yalivyokuwa wakati Tanzania Prisons ikiichapa Geita Gold mabao 1-3 kwenye dimba lao la nyumbani la ...
Tazama magoli yote wakati Tanzania Prisons ikiichapa Geita Gold mabao 1-3 kwenye dimba lao la nyumbani la Nyankumbu.
Vilabu viwili vikongwe Tanzania Simba SC na Yanga SC vimeteka mijadala ya mitandaoni baada ya watani hao wa jadi kutikisa ...
Fuatilia Uchambuzi wa mechi ya NBC Premier League kati ya Geita Gold dhidi ya Tanzania Prisons kupitia #AzamSports1HD ...
Kagera Sugar waliokuwa pungufu kwa zaidi ya dakika 45 wamepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kwenye Dimba la ...
Gustapha Saimon Lunkombe amefunga goli pekee likiwapa Coastal Union ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, katika ...
Gustapha Saimon Lunkombe amefunga goli pekee likiwapa Coastal Union ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, katika ...