Yanga SC 0-0 Simba SC | HIghlights | NBC Premier League 01/03/2026
KARIAKOO DERBY | Imepigwa dabi moja ya maana sana kwenye Dimba la Amaan, Zanzibar, Yanga na Simba wakimaliza dakika 90 bila bao, lakini burudani za kutosha.
Hii ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania