Mwananchi Digital's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Mbao FC imeshindwa kutumia vyema uwanja wake wa nyumbani (CCM Kirumba) baada ya April 6 kulazimishana suluhu na Lipuli katika mchezo wa Ligi Kuu. Katika mechi hiyo wakati wa mapumziko, palizuka vurugu kwa makomandoo wa timu zote mbili na kusaidiwa na Askari Polisi waliofika kutuliza ghasia hizo.
Timu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Majimaji mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo Jumapili. Mabao ya Simba yalifungwa na washambuliaji John Bocco (2) na Emmanuel Okwi (2), Majimaji walifanya mashambulizi kadhaa kwenye lango la Simba lakini hayakuzaa matunda
Kuelekea katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya Simba SC, klabu ya Ndanda FC ya mkoani Mtwara, imetangaza usajili wa wachezaji Watatu waliongezwa kikosini katika dirisha dogo
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
MASHABIKI WA SIMBA SPORTS CLUB NA AZAM FOOTBALL CLUB WAKIBISHANA KUHUSU SEHEMU YA KUWEKA MABANGO YA NAYOONYESHA TAMBO MBALIMBALI KUHUSU TIMU ZAO