KTN News Kenya's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

Timu ya kandanda ya Arsenal yalaza West Brom mabao mawili kwa nunge mchuano ya ligi kuu Uingereza
Timu ya kandanda ya Arsenal yalaza West Brom mabao mawili kwa nunge mchuano ya ligi kuu Uingereza

Timu ya kandanda ya Arsenal yalaza West Brom mabao mawili kwa nunge mchuano ya ligi kuu Uingereza SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.



Str8up: Team Mate ft Gor Mahia
Str8up: Team Mate ft Gor Mahia

http://www.ktnkenya.tv Str8up: Team Mate ft Gor Mahia with Ian



Gor Mahia wacheza mechi ya kwanza chini ya kocha mpya
Gor Mahia wacheza mechi ya kwanza chini ya kocha mpya

www.ktnkenya.tv Kulikuwa na mechi moja ya ligi kuu juma tanokwenye ligi kuu ya primia hapa nchini kati ya vilabu viwili vinavyopata wakati mgumu kwenye ligi kuu, Gor Mahia dhidi ya Mathare United. Ilikuwa ni mechi ya kwanza kwa kocha mpya wa Gor Mahia kutoka Croatia Lugasuric.



KPL league standings
KPL league standings

Tusker's hard earned 2-0 win over Gor Mahia last evening moved the defending champions to third place in the Kenya premier league log. Rangers FC put behind their financial challenges to climb back to 9th place with a 2-1 victory over western Stima. It is however Gor Mahia who find themselves in an unfamiliar position after being condemned to the 14th place but caretaker coach bobby Ogolla expressing optimism that it will not be long before kogalo finds their winning formula.



Tusker kumenyana na Gor Mahia Jumatano
Tusker kumenyana na Gor Mahia Jumatano

Mabingwa wa ligi ya KPL, Tusker watakuwa na kibarua kigumu hapo kesho watakapo menyana na Gor Mahia katika mechi ya ligi ya premia nchini. Mechi hiyo itang'oa nanga mwendo wa saa moja katika uga wa nyayo. mechi hiyo ni muimu kwa timu hizo mbili. Tusker wako katika nafasi ya saba na alama saba kutokana na mechi nne ilhali Gor Mahia wamejipata katika nafasi ya 13 na alama tatu kutoka mechi tatu. Klabu ya AFC Leopards watakuwa wakitazama mechi hiyo kwa maakini sana kwani maasimu hao wamepangiwa kukutana siku ya jumapili katika mechi yenye msisimko. Kwa sasa, leopards wanaongoza jedwali wakiwa na alama 13 na matokeo ya mechi ya kesho haiwatishi. Tusker nao watakuwa wakicheza kwa uangalifu kwani wanakibarua siku ya jumamosi dhidi ya karuturi katika uwanja wa Nyayo. Sofapaka ambao wako katika nafasi ya pili, alama mbili nyuma ya AFC Leopards wamepangiwa kucheza Western Stima siku ya jumapili. Western Stima watatoana kijasho na Ranger Jumatano kuanzia saa tisa ugani Nyayo



KCB FC on New season
KCB FC on New season

Kocha wa timu ya KCB Jacob 'Odijo' Otieno anaimani kuwa wachezaji wapya aliosajili pamoja na wale waliorejea kama vile jacob keli na Ezekiel Odera waiwezesha timu hiyo kumaliza katika safu ya tatu bora.mwanahabari Victor Ogalle anatuarifu zaidi.




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports