Dar24 Media's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

USAJILI WAIBUA MAPYA/ AHMED ALLY AMTIBUA MANARA/  LUIS KUONDOKA AL AHLY/ "BAHARI ITAKAUKA"
USAJILI WAIBUA MAPYA/ AHMED ALLY AMTIBUA MANARA/ LUIS KUONDOKA AL AHLY/ "BAHARI ITAKAUKA"

Miamba hiyo ya soka inafikiria kumuachia Luis ili wapate nafasi ya kuvuta mchezaji mwingine wa kigeni na Simba baada ya kusikia taarifa hizo, fasta wakatuma maombi kwa Al Ahly kama ikiwezekana wamruhusu aje kukipiga tena Msimbazi. Simba inamtaka Luis kwa mkopo, lakini ikipanga kumpunguzia mshahara, kitu ambacho kwa sasa kinajadiliwa na miamba hiyo kuona inakuwaje. Taarifa kutoka ndani ya Simba zinasema kuwa katika ombi lao wamependekeza Luis apunguze mshahara kutoka Dola 50,000 (zaidi ya Sh 100 milioni) kwa mwezi na kuwa isiyozidi dola 15,000 (zaidi ya Sh 30 milioni). -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #HAJIMANARA #AHMEDALLY #USAJILI



MNIGERIA WA RIVERS UNITED KUTUA YANGA KWA DAU NONO?/ AIKATAA SIMBA/ GSM WAMEMALIZANA NAE?
MNIGERIA WA RIVERS UNITED KUTUA YANGA KWA DAU NONO?/ AIKATAA SIMBA/ GSM WAMEMALIZANA NAE?

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #Yangasc #Mutiuugundimu #Riversunited



SIMBA YAMJIBU MORRISON/ BARBARA HANA KOSA LOLOTE/ HAONDOKI NG’O!/ MIKATABA!/ KWANI MNATAKA NINI?
SIMBA YAMJIBU MORRISON/ BARBARA HANA KOSA LOLOTE/ HAONDOKI NG’O!/ MIKATABA!/ KWANI MNATAKA NINI?

Barbara amekua akitajwa kama kiongozi anayekwamisha maendeleo ndani ya Simba SC, nah ii ilidhihirika baada ya kuondoka kwa aliyekua Mkuu wa Idara ya Habari na Mwasilino klabu hapo Haji Manara na baadae Kassim Dewji alimtaja mwanadada huyo alipohojiwa na kituo cha EFM mapema mwezi uliopita. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #SIMBASC #BARBARA #HAJIMANARA



PRIVADINHO 'ASHANGAA' MORRISON KURUDI YANGA/ ''HUYU NI MWANAMKE?''/ YANGA 'WAMEBUGI' KUMSAJILI
PRIVADINHO 'ASHANGAA' MORRISON KURUDI YANGA/ ''HUYU NI MWANAMKE?''/ YANGA 'WAMEBUGI' KUMSAJILI

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #Morrison #Bangala #Aucho



SIMBA MSIMU UJAO: LUIS MIQUISSONE, MANZOKI, OKRAH NDANI/ "WAJIPANGE, KWA MAANA!"
SIMBA MSIMU UJAO: LUIS MIQUISSONE, MANZOKI, OKRAH NDANI/ "WAJIPANGE, KWA MAANA!"

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #appiah #manzoki #okrah



SIMBA YAMOTO: MWINGINE KUAGWA SONGEA/ AHMED ALLY AFUNGUKA-"SIO MALIMBUKENI"/ "ANAPIGA HAPA NA BUNJU"
SIMBA YAMOTO: MWINGINE KUAGWA SONGEA/ AHMED ALLY AFUNGUKA-"SIO MALIMBUKENI"/ "ANAPIGA HAPA NA BUNJU"

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #ahmedally #simbasc #okrah



DICKSON JOB AFICHUA YA NTIBAZONKIZA/ KUMBE SI JAMBO DOGO!/ AUNGANA NA MANARA KUMJIBU JEMEDARI
DICKSON JOB AFICHUA YA NTIBAZONKIZA/ KUMBE SI JAMBO DOGO!/ AUNGANA NA MANARA KUMJIBU JEMEDARI

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #Dicksonjob #Ntibazonkiza #Jemedari



KOCHA COASTAL UNION: YANGA INAWEZA KUCHEZA BILA YA KOCHA/NABI, KAZE HATA WAKIONDOKA SAFI TU ?
KOCHA COASTAL UNION: YANGA INAWEZA KUCHEZA BILA YA KOCHA/NABI, KAZE HATA WAKIONDOKA SAFI TU ?

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #ZAHERA #YANGASC #COASTALUNION




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports