Mpera Mpera Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

KOCHA SIMBA Atoa Taarifa ya MAJERUHI " LIGI ni VITA, SIMBA TUPO TAYARI"
KOCHA SIMBA Atoa Taarifa ya MAJERUHI " LIGI ni VITA, SIMBA TUPO TAYARI"

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wameambulia ushindi wa kwanza kwa msimu wa 2021/22 baada ya kuanza kwa sare katika mchezo wa kwanza walipocheza dhidi ya Biashara United. Ikiwa Uwanja wa Jamhuri,ilipata ushindi kupitia nyota wao Meddie Kagere ambaye alianzia benchi. Alipachika bao hilo dakika ya 69 kwa shuti kali akiwa ndani ya 18 na lilimshinda kipa wa Dodoma Jiji Hussein Masalanga na kuifanya Simba kusepa na pointi tatu.



SHABIKI wa SIMBA AMWAGA MACHOZI KISA USHINDI Dhidi ya DODOMA JIJI "POLENI WACHEZAJI"
SHABIKI wa SIMBA AMWAGA MACHOZI KISA USHINDI Dhidi ya DODOMA JIJI "POLENI WACHEZAJI"

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wameambulia ushindi wa kwanza kwa msimu wa 2021/22 baada ya kuanza kwa sare katika mchezo wa kwanza walipocheza dhidi ya Biashara United. Ikiwa Uwanja wa Jamhuri,ilipata ushindi kupitia nyota wao Meddie Kagere ambaye alianzia benchi. Alipachika bao hilo dakika ya 69 kwa shuti kali akiwa ndani ya 18 na lilimshinda kipa wa Dodoma Jiji Hussein Masalanga na kuifanya Simba kusepa na pointi tatu. Kushangilia kwa Kagere baada ya kuvua jezi kulimfanya mwamuzi amuonyeshe kadi ya njano. Sasa Simba inafikisha pointi nne kwa kuwa mchezo wa kwanza ubao wa Uwanja wa Karume, Mara ulisoma BiasharaUnited 0-0 Simba. Inafikisha pointi nne na kuwa nafasi ya kwanza kwa mara ya kwanza baada ya kucheza mechi mbili. Dodoma Jiji walikamilisha dakika 90 wakiwa pungufu kwa kuwa nyota wao Anuary Jabir alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonekana akimchezea faulo Kenned Juma ambaye hakumaliza dakika 90. 01 Oct 2021



CHEKI!! SIMBA WALIVYOTUA KINYONGE DODOMA, BOCCO, BANDA Kuwawinda DODOMA Jiji...
CHEKI!! SIMBA WALIVYOTUA KINYONGE DODOMA, BOCCO, BANDA Kuwawinda DODOMA Jiji...

KIKOSI cha Simba kimewasili vyema Jijini Dodoma ambapo kilikuwa Mara jana Septemba 28 kilikuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United.  Katika mchezo huo Simba iligawana pointi mojamoja na Biashara United baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Karume kusoma Biashara United 0-0. Inajiandaa na mchezo wa pili wa Ligi Kuu Bara dhidi ya  Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Itakuwa ni Oktoba Mosi na timu zote zinapambana kusaka pointi tatu katika mchezo huo wa ligi.




« Previous


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports