Content removal request!


CHEKI!! SIMBA WALIVYOTUA KINYONGE DODOMA, BOCCO, BANDA Kuwawinda DODOMA Jiji...

KIKOSI cha Simba kimewasili vyema Jijini Dodoma ambapo kilikuwa Mara jana Septemba 28 kilikuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United.  Katika mchezo huo Simba iligawana pointi mojamoja na Biashara United baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Karume kusoma Biashara United 0-0. Inajiandaa na mchezo wa pili wa Ligi Kuu Bara dhidi ya  Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Itakuwa ni Oktoba Mosi na timu zote zinapambana kusaka pointi tatu katika mchezo huo wa ligi.