|
Dominicksalamba's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“Jambo jema maishani ni kua mwema kadri siku zinavyosogea,chagua kuishi na watu,kati ya watu ndani ya watu,maisha ni mtu ndani ya watu.” Report User |
Saido ni wa moto... What A Free kick ๐ฆถ!!! Simba SC 1:1 Coastal Union Tz Prisons 0:0 Yanga SC 11' Dakk
๐๐จ๐ฉ ๐๐จ๐ฎ๐ซ Ligi Kuu Misri: 1๏ธโฃ Pyramids. 30 games. 64pts 2๏ธโฃ Al Ahly. 24 games. 62pts 3๏ธโฃ Future FC. 30 games. 57pts 4๏ธโฃ Zamalek. 30 games. 53pts #Egypt ๐ช๐ฌ
Mashabiki wa Raja Casablanca wakiwa tayari kwa mchezo baina ya timu yao dhidi ya Simba sc. Ni mchezo wa 6 wa kukamilisha hatua ya makundi klabu bingwa barani Afrika.
RATIBA YA LEO LIGI KUU KENYA Posta Rangers vs. Wazito (Kasarani Annex) FC Talanta vs. AFC Leopards (Nyayo Stadium)
Kadi nyingi za njano hadi hivi sasa ndani ya #LigiKuuTz #NbcPL โ Sadio Kanoute kadi 8 (Simba) โ Charles Ilanfya 7 (Mtibwa Sugar) โ George Sangija 7 (Mbeya City)