Juzi kwenye mechi ya Simba vs Raja
Uwanja ulikua na watu takribani elfu hamsini
Watu wenye morali na matumanimi
Nashawishika kusema VunjaBei angeuza jezi 10k na zaidi kabla
Sina hakika na soko baada ya matokeo Haya, mpaka tumpige Azam na Vipers
Umuhimu wa kuwahi sokoni ๐