Simba SC wamefanikiwa kushinda kwenye michezo yao mitano (5) iliyopita. Ambapo wamekusanya alama 15 kwenye mechi 5 za mwisho. Leo anakutana na Azam FC, Je ataendeleza kutoa dozi!!? #NBCPremierLeague 🇹🇿
🚨 Simba SC amepoteza mchezo mmoja mpaka sasa na amepoteza dhidi ya Azam FC ambao waliwafunga bao 1-0 Wanakutana tena kwa Mkapa ambapo Simba wapo nafasi ya 2 na alama 53,Michezo 22. Huku Azam wakiwa nafasi ya 4 na alama zao 43,michezo 22. Kesho: Simba SC vs Azam FC NBCPL 🇹🇿
#LigiKuu | Kuelekea mchezo dhidi ya Azam Saido Ntibanzonkiza na Moses Phiri ndio vinara wa mabao kwa upande wa Simba. Wana mabao 10 kila mmoja. Je kesho wataongeza idadi ya mabao kwenye akaunti zao?
The Azam's Football team activities page. Related with social media posts of Azam's games and scheduled events. Match records planned for future dates as well as home and away matches. Plan a trip and experience the excitement of the match on the spot!