Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga wametamba kuwa na kikosi kizuri licha ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya ZANACO FC kwa kufungwa mabao mawili kwa moja. Mashabiki wa Wanachama wa Yanga ambao walikuwa wakishangilia kwa staili ya kuwajaza baada ya mshambuliaji Heritier Makambo kufunga bao la kufutia machozi kwenye mchezo huo wametamba kuwa msimu ujao wapinzani wao mbona wataomba poo. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #yangasc #makambo #zanaco
manara asema halijawahi kutokea tamasha kama la yanga sc au la kilele cha siku ya wananchi, adai kuwa hata simba sc walipigwa tatu mtungi
Subscribe + Like + Share + comments kwa Habari kila siku
SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1