Simba Sports Club imepata saini ya mshambuliaji Freddy Michael Kouablan raia wa Ivory Coast mwenye miaka 25. Ambaye amesainiwa kwa miaka miwili akitokea klabu ya Ligi kuu ya Zambia ya Green Eagles. #simbasc #simba #usajili #usajilisimbasc #ligikuutanzania #votupdates #votmedia #tumechangamka