BADO NAMTAFUTA MESUT OZIL  MWINGINE SIJUI NTAMPATA WAPI?
BADO NAMTAFUTA MESUT OZIL MWINGINE SIJUI NTAMPATA WAPI?

Usisahau kuSUBSCRIBE katika ukurasa wetu ili kuendelea kupata uhondo wa mpira wa miguu duniani kote.



MC PETIT/ISSA AZAM WACHARUKA/"KIBU KAFUNGA GOLI 2/INONGA HAKUNA KAMA YEYE/YANGA WAMEJICHANGANYA"
MC PETIT/ISSA AZAM WACHARUKA/"KIBU KAFUNGA GOLI 2/INONGA HAKUNA KAMA YEYE/YANGA WAMEJICHANGANYA"

Leo tarehe 16/04/2023 Tanzania inashuhudia Mchezo tena Mchezo mkubwa Dabi ya Karikoo safari hii Mnyama Simba SC anamualika Mwananchi Young Africans kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Kumbukumbu nzuri Mchezo wa Kwanza Msimu huu uliowakutanisha Simba na Yanga ulitamatika kwa Sare 1-1 Agustin Okra akiingia kambani huku Aziz Ki akisawazisha kwa Mkwaju wa Mpira wa kutenga. Mpenja Tv tumefika Uwanjani kukuhabarisha wewe Mwana Michezo kabla na baada ya Mchezo huu kufika Tamati. Salia nasi kupata uhondo wote wa Dabi ya Kariakoo




Next »


Popular Tags

#Stephen Curry  #Best Ball Controls  #Gareth Bale  #Best Ball Controls  #Miami Heat  #Philadelphia 76ers  #Paul Pogba  #Paul Pogba  #Paul George  #Anthony Davis  

Popular Users

#imVkohli  #THNRyanKennedy  #ArianaGrande  #DeAndre  #BizNasty2point0  #Joey7Barton  #dougferguson405  #BarackObama  #NiallOfficial  #alexmorgan13  #MileyCyrus  #Cristiano  #BrunoMars  #LAKings  #IAmJericho